Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Wajinga ndio waliwao
Hakuna ujinga wowote iwapo hiyo laki nne itatengeneza zaidi ya laki tatu ambayo ungewapa wauza simu ndani ya mwaka mzima.

Mfano: Kama mm ni muuza mahindi na nina laki nne nitaopt kuiingiza hiyo laki nne kwenye mtaji wa mahindi iwapo hiyo laki nne itanipa faida zaidi ya laki tatu kwa mwaka mzima. Yaani hiyo laki nne ikinipa zaidi ya TSH 900 kwa siku tu kama faida sinunui simu cash naikopa.
 
Ko utakua unauza mahindi ili ulipie simu? Be serious mkuu
 
Dah ila hawa jamaa wamezidi.
Watanzania mnapenda kulalamikia, mimi Kila siku napokea message za Tigo na ignore. Umekaa chini umepiga hesabu A14 cash ni laki 4, Kwa mkopo Kwa mwaka laki 7. Bado umeamua kwenda na p.umbu zako kuchukua mkopo, umelazimishwa!?.., Kaa na kiswaswadu chako au Tecno yako au kakope Samsung ya laki 4 uilipie laki 7 Kwa mwaka au warudishie mapema jipeleke mwenyewe waambie huwezi kuendelea kulipia umepata majanga. Ila kuja kulalamikia humu sio sawa maana hukulazimishwa.
 
Babu maisha ni kupeana experiences, acha makasiriko.
 
Mikopo ya aina nyingi huwa haiko fair

Sio simu tu
Mkuu Hakuna fair ila kuna win-win sema sisi tunapenda sana kuonewa huruma na kulindwa badala ya kujilinda halafu tuna mihemko tukiwa na uhitaji, hatujali tunachukua tu baadae ndo kilio.

Wewe unayechukua mkopo unapaswa kuicalculate win yako. Anayekupa mkopo amekwambia win yake kuwa nataka nikikupa laki uniletee laki na ishirini baada ya mwezi, wewe unayechukua unapaswa kupiga hesabu za win yako kwa kuhakikisha kuwa hiyo pesa inatatua tatizo lenye thamani zaidi ya elfu ishirini kama haifai unaacha.
 
Ko utakua unauza mahindi ili ulipie simu? Be serious mkuu
Boss Nimekupa mfano wa mfanyabiashara wa mahindi ambaye anauhitaji wa simu na ana laki nne. Hesabu anayopiga ni rahisi tu kufanya maamuzi.

Nikilipa 2000 kila siku baada ya mwaka ntakuwa nimenunua simu laki saba badala ya laki nne, je hii laki nne niliyonayo sasa hivi nikiingiza kwenye biashara yangu itazalisha zaidi ya laki tatu kwa mwaka ambayo imeongezeka juu ya hii laki nne iwapo ningenunua cash now?

Kama jibu ni ndio anachukua kwa mkopo, kama sio ananunua cash. Sababu gharama ya kununua simu kwa mkopo ni Tsh 300,000.
 
Mkuu kuna mtu anaweza kupata elfu40 kwa siku lakini akashindwa kupata laki kwa mwezi hivyo iyo simu anauwezo wakulipa vizuri pasipo kufungiwa ila hawezi kutafuta laki tatu Kesh akanunua mpya hivyo maisha nikuchagua mi nikajua umeanzisha thread kuwa wenye simu wanawafanyia uhuni wanaochukua simu kabla yakumaliza
Bila shaka unafanya masihara
 
Hawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.

Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.

No huu ni unyonyaji.
Weeewe! Sasa kama huna cash utafanyaje? Watanzania waliowengi hawawezi kumudu hata simu ya pesa taslimu 300,000/=.
Nawashauri nenda mkakope tigo shop kuna simu nzuri na masharti yao mazuri! Unaweza kufanya mrejesho wa 1,000 kwa siku au 1,500 kwa siku kwa simu yenye uwezo mkubwa! Makampuni yasiyokuwa na majina au watu binafsi usiende
 
Watanzania mnapenda kulalamikia, mimi Kila siku napokea message za Tigo na ignore. Umekaa chini umepiga hesabu A14 cash ni laki 4, Kwa mkopo Kwa mwaka laki 7. Bado umeamua kwenda na p.umbu zako kuchukua mkopo, umelazimishwa!?.., Kaa na kiswaswadu chako au Tecno yako au kakope Samsung ya laki 4 uilipie laki 7 Kwa mwaka au warudishie mapema jipeleke mwenyewe waambie huwezi kuendelea kulipia umepata majanga. Ila kuja kulalamikia humu sio sawa maana hukulazimishwa.
Unajua ni kwanini? Huwa hatupigi hesabu ya faida tunayopata tunaangalia anachopata mwingine na kama ni kikubwa bora biashara ife au malalamiko yanaanza.

Mtu anaweza jenga nyumba kwa thamani ya m10, akasema anaiuza m15. Huyu ataridhika kabisa na hiyo m15 ikipatikana ila dalali atakapoleta mteja wa m35 na kumwambia achukue 15 zake nyingine azitoe biashara inaweza kufa. Sababu ni hajaangalia tena 15, ameangalia anayopata mwingine.

Mfano hapa, mtu analalamika gharama ya laki tatu kwa mwaka ni kubwa mno ila hapigi mahesabu hiyo laki nne anayokaa nayo inaweza kuzalisha kiasi gani ili apime kama laki tatu ni kubwa au ndogo, yeye kaangalia tu hiyo laki tatu.

Jiulize huo ukubwa wa laki tatu unaolalamikiwa umepimwa vipi?
 
Back
Top Bottom