Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Ni bora mkopo kuliko cash, maana kuna wengine kuzihesabu cash hua zinatuuma Sana.

Kuna jamaa angu alichukua mkopo wa simu akatanguliza 250k, na akatakiwa awe analipa 113,300/= per month ndani ya miezi3. Now kamaliza deni mpk anahisi kawapunja jamaa
 
Uamuzi ni wako, sio lazima ufike mwaka unaweza lipa kwa.miezi mitatu,6 na kuendelea

na kote riba ni tofauti,kama umechagua mwaka usilaumu na wao hela yao ina kazi.

Mbongo anataka Kuku kopa halafu akupangie na hela yako,shida ya wabongo ni hiyo tu. Kujisahau.
 
Ni bora mkopo kuliko cash, maana kuna wengine kuzihesabu cash hua zinatuuma Sana.

Kuna jamaa angu alichukua mkopo wa simu akatanguliza 250k, na akatakiwa awe analipa 113,300/= per month ndani ya miezi3. Now kamaliza deni mpk anahisi kawapunja jamaa
Binafsi nmewapa watu wangu wa karibu wote simu za kueleweka ila kutoa cash inauma,bora hii kidogo kidogo kama baridi baridi
 
Hakuna ujinga wowote iwapo hiyo laki nne itatengeneza zaidi ya laki tatu ambayo ungewapa wauza simu ndani ya mwaka mzima.

Mfano: Kama mm ni muuza mahindi na nina laki nne nitaopt kuiingiza hiyo laki nne kwenye mtaji wa mahindi iwapo hiyo laki nne itanipa faida zaidi ya laki tatu kwa mwaka mzima. Yaani hiyo laki nne ikinipa zaidi ya TSH 900 kwa siku tu kama faida sinunui simu cash naikopa.
Sasa muuza mahindi c ununue tu kiswaswadu then uendeshe hiyo choma mahindi mpaka upate smartphone?. Najiuliza kuna ulazima wa kukopa hiyo smartphone? Hiyo smartphone Kwa wakati husila inafaida Gani zaidi ya kuperuzi umbea.
 
Jifunze kama huna uwezo wa kitu kiache kipite, madenii ni roho, hata kama unaona kitakuleta hela, kopa ukiwa tayari na hela ya kurudisha....yani umeamua tuu kutumia facility
 
Ngoja nikuonyeshe na mm natumia simu ya mkopo kutoka tigo
Mkuu wewe ulichukua aina gani? Maana kuna watu nawafahamu waliochukua za mkopo huwa wanapewa MB kama ifuatavyo;
1. Samsung A04 - Anapata MB 100 kila akilipa deni la TZS 1000 (tigo)
2. Samsung A04S - anachukua MB 200 kila akilipa mkopo (tigo).
3. Samsung A04e anapata GB 1.5 kila akilipa mkopo wa TZS 8100. Huyu malipo yake anafanya kwa wiki, hizo GB anapewa za kutumia kwa siku 3. Mtandao ni airtel.
 
Hamna kitu kibaya na laana kama umasikini. Umasikini ni kitu kibaya Sana, yaana matajiri wanawaza watamnyonyaje masikini licha ya umasikini wake
Kukopa sio laana, ni worldwide trend hiyo, nduo maana hata nchi matajiri zinakopa tu. Miaka ya nyuma niliishi sehemu ambayo simu ilikuwa inakopeshwa hivi hivi, sisi tunaiga tu.

Hapa nataka nikakope pikipiki yangu(japo naogopa kufa na hizi ajali, kibajaj kinanifilisi🤣), kwa nini nichukue 3.5m kununua cash wakati nina option ya kulipa 400k na nyingine nikawa nalipa kidogo kidogo. Ni trend ya dunia sio umasikini.
 
Back
Top Bottom