kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
- Thread starter
- #21
Hahah kwa life hili la bongo.Kama hiyo gharama ni kubwa mno jaribu kasave Tsh 2000 mpaka ifike laki nne ununue cash.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kwa life hili la bongo.Kama hiyo gharama ni kubwa mno jaribu kasave Tsh 2000 mpaka ifike laki nne ununue cash.
Huna unachoingiza?Bora mikopo ya ujasiriamali, sio hii ya simu huna unachoingiza then ukope daah
Ninauwakika unakaa kwawazazi wako kwa hichi ulichokiandikaHiyo ni kawaida kwenye mikopo. Kadiri unavyochukua muda mrefu kurejesha mkopo ndivyo marejesho yanakuwa makubwa zaidi.
Simu unafanyia biashara gani?Huna unachoingiza?
Si umepata simu
Hakuna ujinga wowote iwapo hiyo laki nne itatengeneza zaidi ya laki tatu ambayo ungewapa wauza simu ndani ya mwaka mzima.Wajinga ndio waliwao
Unaweza kopa ela kisa urejeshe mkopo wa simu? Lakini unaweza kopa pesa ya kutibiwa mkuuKama utashindwa kulipa elfu mbili au elf moja mia tano kwasiku kwakisingizio labda chakuumwa maana ake hata uo ugonjwa uliopata utakuua
Hahah. Ndio.Hahah kwa life hili la bongo.
Kausha damu ingineBora mikopo ya ujasiriamali, sio hii ya simu huna unachoingiza then ukope daah
sio poah mkuuHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Ko utakua unauza mahindi ili ulipie simu? Be serious mkuuHakuna ujinga wowote iwapo hiyo laki nne itatengeneza zaidi ya laki tatu ambayo ungewapa wauza simu ndani ya mwaka mzima.
Mfano: Kama mm ni muuza mahindi na nina laki nne nitaopt kuiingiza hiyo laki nne kwenye mtaji wa mahindi iwapo hiyo laki nne itanipa faida zaidi ya laki tatu kwa mwaka mzima. Yaani hiyo laki nne ikinipa zaidi ya TSH 900 kwa siku tu kama faida sinunui simu cash naikopa.
Watanzania mnapenda kulalamikia, mimi Kila siku napokea message za Tigo na ignore. Umekaa chini umepiga hesabu A14 cash ni laki 4, Kwa mkopo Kwa mwaka laki 7. Bado umeamua kwenda na p.umbu zako kuchukua mkopo, umelazimishwa!?.., Kaa na kiswaswadu chako au Tecno yako au kakope Samsung ya laki 4 uilipie laki 7 Kwa mwaka au warudishie mapema jipeleke mwenyewe waambie huwezi kuendelea kulipia umepata majanga. Ila kuja kulalamikia humu sio sawa maana hukulazimishwa.Dah ila hawa jamaa wamezidi.
sahihi mkuuMikopo ya aina nyingi huwa haiko fair
Sio simu tu
Babu maisha ni kupeana experiences, acha makasiriko.Watanzania mnapenda kulalamikia, mimi Kila siku napokea message za Tigo na ignore. Umekaa chini umepiga hesabu A14 cash ni laki 4, Kwa mkopo Kwa mwaka laki 7. Bado umeamua kwenda na p.umbu zako kuchukua mkopo, umelazimishwa!?.., Kaa na kiswaswadu chako au Tecno yako au kakope Samsung ya laki 4 uilipie laki 7 Kwa mwaka au warudishie mapema jipeleke mwenyewe waambie huwezi kuendelea kulipia umepata majanga. Ila kuja kulalamikia humu sio sawa maana hukulazimishwa.
Mkuu Hakuna fair ila kuna win-win sema sisi tunapenda sana kuonewa huruma na kulindwa badala ya kujilinda halafu tuna mihemko tukiwa na uhitaji, hatujali tunachukua tu baadae ndo kilio.Mikopo ya aina nyingi huwa haiko fair
Sio simu tu
Boss Nimekupa mfano wa mfanyabiashara wa mahindi ambaye anauhitaji wa simu na ana laki nne. Hesabu anayopiga ni rahisi tu kufanya maamuzi.Ko utakua unauza mahindi ili ulipie simu? Be serious mkuu
Bila shaka unafanya masiharaMkuu kuna mtu anaweza kupata elfu40 kwa siku lakini akashindwa kupata laki kwa mwezi hivyo iyo simu anauwezo wakulipa vizuri pasipo kufungiwa ila hawezi kutafuta laki tatu Kesh akanunua mpya hivyo maisha nikuchagua mi nikajua umeanzisha thread kuwa wenye simu wanawafanyia uhuni wanaochukua simu kabla yakumaliza
Weeewe! Sasa kama huna cash utafanyaje? Watanzania waliowengi hawawezi kumudu hata simu ya pesa taslimu 300,000/=.Hawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Unajua ni kwanini? Huwa hatupigi hesabu ya faida tunayopata tunaangalia anachopata mwingine na kama ni kikubwa bora biashara ife au malalamiko yanaanza.Watanzania mnapenda kulalamikia, mimi Kila siku napokea message za Tigo na ignore. Umekaa chini umepiga hesabu A14 cash ni laki 4, Kwa mkopo Kwa mwaka laki 7. Bado umeamua kwenda na p.umbu zako kuchukua mkopo, umelazimishwa!?.., Kaa na kiswaswadu chako au Tecno yako au kakope Samsung ya laki 4 uilipie laki 7 Kwa mwaka au warudishie mapema jipeleke mwenyewe waambie huwezi kuendelea kulipia umepata majanga. Ila kuja kulalamikia humu sio sawa maana hukulazimishwa.
Mkuu unafuu unaupima kwa kupiga mahesabu ya gharama za kuwekeza vs gharama za mkopo. Gharama za mkopo ushaona ni laki tatu je gharama za kuwekeza mwenyewe ifike laki nne ni kiasi gani?Mimi naona njia ya kuwekeza ni ni bora na nafuu kuliko hii ya mkopo.
Kuna wazee wa kuby pass, nime ona kwa macho🤒🤒.Mpya au kesh? Ni laki 4.ukijaribu kutorosha unatrakiwa na kitengo cha cyber crime.. Kwanza picha linanzia baada ya siku ya 3 ya kushindwa kulipia ile 2000 simu inzimwa then tracking inanza