ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini kuuwa mtu mhaini, gaidi, muuaji n.k Huwa wanasaini na waharifu hunyongwa tu
Ni hivi hukumu ya kunyongwa hadi kufa huwa inatekelezwa vizuri tu
Waliohukumiwa Huwa wananyongwa, usijidanganye eti itafanya uhalifu upate hukumu hii halafu mbadala kiwe kifungo cha maisha
Mtu akihukumiwa kifo, Huwa anapewa wasaa wa kukata rufaa na rufaa ikishinda adhabu hii Huwa inatekelezwa
Waliohukumiwa adhabu ya kifo huitwa vipusa huko gerezani, na hukaa selo bila kutoka nje hata kuota jua, chakula na huduma nyingine huwa zinawakuta humo
Gereza maarufu la kunyongea ni Isanga Dodoma, wafungwa waliokutwa na hatia husafishwa hadi Isanga Dodoma na kunyongwa
Askari walio ajiriwa kutimiza wajibu huu wapo na Huwa kazi Yao ya kunyonga wanaifanya vizuri
Kuweni makini epukeni jinai mbaya kama uhaini, ugaidi, murder case, ukatili n.k ili uepuke adhabu hii mbaya
Sio kila kitu utaambiwa bayana