King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Jamaa yupo jela lakini amenenepa sana aiseee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani akasema huyo kanyongwa?
Inasemekana Bado rufaa yake haijasikilizwa
Sasa ulishindwa Nini kusema haujui,eti itakua Tayari,stupid hujui kitu kaa kimyaItakuwa tayari unadhani nilishindwa kujibu tayari?
Itakuwa tayari ni kwamba Sina uhakika 💯
Una chuki kali sana mremboSasa ulishindwa Nini kusema haujui,eti itakua Tayari,stupid hujui kitu kaa kimya
We mjinga mjinga sana dogo,unaleta story zenu za vijiweni huku kwa watu wenye uelewa
aisee Tanzania kuna watuYah n kweli kabisa mkuu, mwenyewe juzi kati nilinyongwa huko Dodoma, ila waliniudhi kwann waninyonge na kamba ya ng'ombe muda wote hadi huku mbinguni nilipo nanuka harufu ya mbolea.
Una chuki kali sana mrembo
Sijui mmeo ana hali gani
Hunijui sikujui ila inaonekana chuki yako ni kama Malaya nilkkuopoa na sikukulipa.
Tulia mrembo kuwa positive
Nyuzi zangu una comment, unani quote kila comment zangu, unataka nini mrembo?
Kama huwa content zangu hazikuvutii acha kuzisoma
Humu jf Kuna nyuzi zaidi ya million, soma hizo
Hiyo habari ipo wazi kabisaUmetoa wapi hizi habari kijana...
Au ndio ninyi "niamini mimi bro"
Utakwenda kumuona uliye muuaBaada ya kunyogwa what next?
hahaha mnichome moto kabisaUtakwenda kumuona uliye muua
😁😁😁😁😁😁😁hahaha mnichome moto kabisa
Niende peponi direct ausiyo bhana 😃😁😁😁😁😁😁😁
Leta link tuisome na sisiHiyo habari ipo wazi kabisa
Kuna mambo hayahitaji mtazamo, leta ushahidi.Baki na mtazamo wako
wewe uliyeleta mada ndiyo unatakiwa kuthibitisha hivyoNani alihukumiwa kunyongwa na hakunyongwa?
PoaWe ni mshamba dogo,
Ukiishiwa facts unakimbilia matusi,
Ungetumia hii platform kuuza mahindi kutoka huko ngara ungekua mbali. Nakupa tip ingine ya town,sasa hivi mahindi yatapanda bei sababu nchi haina mvua za kutosha sehem nyingi.
Wapo wengi mno. JPM aliwasamehe 61 kati yao mwaka 2017. Ripoti ya tume ya Haki Jinai mwaka 2022 inasema kulikuwa na wafungwa zaidi ya 600 waliokuwa wanasubiri kunyongwa magerezani. Tume ya Haki jinai nao ni waongo? Yule mzee Matonya aliyehukumiwa kunyongwa miaka ya 1980 na Magufuli akamsamehe na kuachiwa huru halafu akatoa simulizi yeye mwenyewe na kukiri kuwa aliua na yeye ni muongo?Nani alihukumiwa kunyongwa na hakunyongwa?