Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Nani akasema huyo kanyongwa?
Inasemekana Bado rufaa yake haijasikilizwa

Nikikuambia huna akili nitakosea,Umeulizwa hapo,ukajibu itakua Tayari Huenda Hujui Bageni ni nani
 
Attachments

  • IMG_6294.png
    IMG_6294.png
    189 KB · Views: 3
Nikikuambia huna akili nitakosea,Umeulizwa hapo,ukajibu itakua Tayari Huenda Hujui Bageni ni nani
Itakuwa tayari unadhani nilishindwa kujibu tayari?
Itakuwa tayari ni kwamba Sina uhakika 💯
 
Itakuwa tayari unadhani nilishindwa kujibu tayari?
Itakuwa tayari ni kwamba Sina uhakika 💯
Sasa ulishindwa Nini kusema haujui,eti itakua Tayari,stupid hujui kitu kaa kimya

We mjinga mjinga sana dogo,unaleta story zenu za vijiweni huku kwa watu wenye uelewa
 
Sasa ulishindwa Nini kusema haujui,eti itakua Tayari,stupid hujui kitu kaa kimya

We mjinga mjinga sana dogo,unaleta story zenu za vijiweni huku kwa watu wenye uelewa
Una chuki kali sana mrembo
Sijui mmeo ana hali gani
Hunijui sikujui ila inaonekana chuki yako ni kama Malaya nilkkuopoa na sikukulipa.
Tulia mrembo kuwa positive
Nyuzi zangu una comment, unani quote kila comment zangu, unataka nini mrembo?
Kama huwa content zangu hazikuvutii acha kuzisoma
Humu jf Kuna nyuzi zaidi ya million, soma hizo
 
We ni mshamba dogo,
Ukiishiwa facts unakimbilia matusi,
Ungetumia hii platform kuuza mahindi kutoka huko ngara ungekua mbali. Nakupa tip ingine ya town,sasa hivi mahindi yatapanda bei sababu nchi haina mvua za kutosha sehem nyingi.
 
Poa
 
Mwaka 2017 JPM aliwasamehe wafungwa 61 ambao walihukumiwa kunyongwa. Wengi wao walikuwa gerezani kwa miongo kadhaa. Walijitokeza na wakatoa simulizi zao kuhusu mauaji waloyotiwa nayo hatiani. Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wale walitengenezwa ili kutudanganya? Au walinyongwa halafu wakasamehewa?
 
Nani alihukumiwa kunyongwa na hakunyongwa?
Wapo wengi mno. JPM aliwasamehe 61 kati yao mwaka 2017. Ripoti ya tume ya Haki Jinai mwaka 2022 inasema kulikuwa na wafungwa zaidi ya 600 waliokuwa wanasubiri kunyongwa magerezani. Tume ya Haki jinai nao ni waongo? Yule mzee Matonya aliyehukumiwa kunyongwa miaka ya 1980 na Magufuli akamsamehe na kuachiwa huru halafu akatoa simulizi yeye mwenyewe na kukiri kuwa aliua na yeye ni muongo?
 
Back
Top Bottom