Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Nyuma ya gereza la isanga kuna makaburi ya wafungwa walio nyongwaga kitambo, ila hakuna makaburi mapya sijui wanazikia wapo sikuizi kama kwel bado wananyonga.
Hawajanyongwa muda mrefu..
 
Yah n kweli kabisa mkuu, mwenyewe juzi kati nilinyongwa huko Dodoma, ila waliniudhi kwann waninyonge na kamba ya ng'ombe muda wote hadi huku mbinguni nilipo nanuka harufu ya mbolea.
Kumechangamka,kumechangamka! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Punguza ujuaji kijana.chunguza kiasi walau upate majibu sio kuandika maneno ya juu juu tu,
Tafuta mahojiano ya mzee ambae kazi yake ilikua ni kunyonga gereza la Isanga hapo dodoma iko you tube utaelewa wananyonga Au Lah,
 
Na venye hajatoa evidence ndo itupiliwe mbali kabisa iende ikiendanga
Tena jina
Uhaini
Ugaidi
Murder case
Upate hiyo hukumu ndo utajua Dunia sio Duara wala huwa haizunguki
 
Gereza la Isanga, ambalo lipo Dodoma, Tanzania, halihusiki na unyongaji wa wafungwa. Tanzania kwa ujumla haitekelezi adhabu ya kifo kwa kunyonga licha ya kuwa adhabu hiyo ipo kisheria. Kwa muda mrefu, hukumu za kifo zimekuwa zikitolewa lakini hazitekelezwi, kwani marais wa Tanzania mara nyingi hawasaini amri za utekelezaji wa adhabu hiyo.

Badala yake, wafungwa wanaopata adhabu ya kifo hubaki gerezani kwa muda usiojulikana, mara nyingi wakihukumiwa kifungo cha maisha badala ya kunyongwa.
Life sentence and death penalty are are almost less the same
 
Punguza ujuaji kijana.chunguza kiasi walau upate majibu sio kuandika maneno ya juu juu tu,
Tafuta mahojiano ya mzee ambae kazi yake ilikua ni jinyonga gereza la Isanga hapo dodoma iko you tube utaelewa wananyonga Au Lah,
We jinga kabisa
We unadhani ukweli wote umewekwa YouTube au google
 
Sasa nikuamini wewe ambae ushahidi huna?
Unasema C.Bageni ameshanyongwa una proof gani, Acha uropokaji vingine havisemwi hovyo.
Nani akasema huyo kanyongwa?
Inasemekana Bado rufaa yake haijasikilizwa
 
Back
Top Bottom