Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Gereza la Isanga, ambalo lipo Dodoma, Tanzania, halihusiki na unyongaji wa wafungwa. Tanzania kwa ujumla haitekelezi adhabu ya kifo kwa kunyonga licha ya kuwa adhabu hiyo ipo kisheria. Kwa muda mrefu, hukumu za kifo zimekuwa zikitolewa lakini hazitekelezwi, kwani marais wa Tanzania mara nyingi hawasaini amri za utekelezaji wa adhabu hiyo.

Badala yake, wafungwa wanaopata adhabu ya kifo hubaki gerezani kwa muda usiojulikana, mara nyingi wakihukumiwa kifungo cha maisha badala ya kunyongwa.
Jidanganyeni tu
Watu wananyongwa vizuri tu,na sio Isanga pekee wanaponyongewa,kuna geraza la Uyui na Luanda napo ni sehemu ambazo adhabu hii huwa inatekelezwa.
Hakuna Rais ambae hajasaini watu kunyongwa.
Jiwe yeye alisaini wale waliokua wanaua albino kipindi flani,same to mama nae amefuata nyendo hizo za jiwe.kikwete yeye aliondoa wale majambazi sugu waliokua wanatikisa miaka flani huko nyuma.
Kwa kifupi watu wanakula vitanzi kimya kimya ila serikali huwa haitoi taarifa za kweli.
Kwa pale jeshi la magereza kazi ya kunyonga huwa inaitwa kazi maalumu,kuna watu mpaka huwa wanaenda kuroga kupata hiki kitengo coz kina maslahi mazuri.
 
Acha uwongo basi.
 
Bageni yupo ona sasa unakisia. Bageni yupo, na last week rufani yake ilitajwa kwamba inawezekana akarudi tena mahakamani soon. Kupambania kufutiwa kunyongwa. Na yupo gereza la ukonga hadi sasa.
Hiyo sio rufaa,hiyo inaitwa court review. Hukumu huwa haitekelezwi immediately kama unavyodhani,labda kama ulikua threat kwa taifa.
 
Wewe bwana unajua unachoandika hapa? Unajua nini maana ya courtreview. Court review kwa kesi ya bageni uko serious?
 
Gereza la Isanga, ambalo lipo Dodoma, Tanzania, halihusiki na unyongaji wa wafungwa. Tanzania kwa ujumla haitekelezi adhabu ya kifo kwa kunyonga licha ya kuwa adhabu hiyo ipo kisheria. Kwa muda mrefu, hukumu za kifo zimekuwa zikitolewa lakini hazitekelezwi, kwani marais wa Tanzania mara nyingi hawasaini amri za utekelezaji wa adhabu hiyo.

Badala yake, wafungwa wanaopata adhabu ya kifo hubaki gerezani kwa muda usiojulikana, mara nyingi wakihukumiwa kifungo cha maisha badala ya kunyongwa.
Mkuu,ninakubaliana na mtoa mada. Gazeti la Mwananchi mwaka fulani liliandika mahojiano na Askari mstaafu wa Magereza ambaye alipata ajira kazi Maalum ya kunyonga na alieleza jinsi alivyokuwa akitekeleza majukumu yake.

Kupitia makala ile,nilielewa kwamba hukumu hiyo huwa inatekelezwa vizuri tu. Ukihitaji jaribu ku search Google Gazeti la Mwananchi na simulizi ya askari aliyekuwa anatekeleza adhabu ya kifo.
 
Mkuu hongera Kwa access ya taarifa nyeti!

Ungetuambia kabisa huko kunyongwa ni kwa kamba au kupewa sumu!!?
 
Someni gazeti la Mwananchi la August 21,2016. Hapo utapata simulizi ya Askari mstaafu aliyekuwa anafanya kazi Maalum ya kutekeleza hukumu ya kifo,alifanya kazi hiyo kwa miaka 22
 
Una chuki kali sana mrembo
Sijui mmeo ana hali gani
Hunijui sikujui ila inaonekana chuki yako ni kama Malaya nilkkuopoa na sikukulipa.
Tulia mrembo kuwa positive
Nyuzi zangu una comment, unani quote kila comment zangu, unataka nini mrembo?
Kama huwa content zangu hazikuvutii acha kuzisoma
Humu jf Kuna nyuzi zaidi ya million, soma hizo
Acha kupaniki uwe unaleta habari zenye ushahidi sio story za vijiweni.
 
Jidanganyeni tu
Watu wananyongwa vizuri tu,na sio Isanga pekee wanaponyongewa,kuna geraza la Uyui na Luanda napo ni sehemu ambazo adhabu hii huwa inatekelezwa.
Hakuna Rais ambae hajasaini watu kunyongwa.
Jiwe yeye alisaini wale waliokua wanaua albino kipindi flani,same to mama nae amefuata nyendo hizo za jiwe.kikwete yeye aliondoa wale majambazi sugu waliokua wanatikisa miaka flani huko nyuma.
Kwa kifupi watu wanakula vitanzi kimya kimya ila serikali huwa haitoi taarifa za kweli.
Kwa pale jeshi la magereza kazi ya kunyonga huwa inaitwa kazi maalumu,kuna watu mpaka huwa wanaenda kuroga kupata hiki kitengo coz kina maslahi mazuri.
Wasome Gazeti la Mwananchi la August 21,2016. Wataona hiki ulichokiandika mkuu.
 
Toa mifano kadhaa ya watu walionyongwa,,,,, ! Uwe na fact/supporting evidence
 
Ku

Kuna wader mmoja aliwahi kuchizi Rans copro wa Magereza alipewa kitengo hicho zamani ilikuwa mkimaliza Course mnapangiwa vitengo saiv wakimaliza wanachaguliwa Baazi wanaenda kozi ya Kunyonga ni hatari.....
Magereza haina cheo cha Lance coporal.
 
Mkuu,ninakubaliana na mtoa mada. Gazeti la Mwananchi mwaka fulani liliandika mahojiano na Askari mstaafu wa Magereza ambaye alipata ajira kazi Maalum ya kunyonga na alieleza jinsi alivyokuwa akitekeleza majukumu yake.

Kupitia makala ile,nilielewa kwamba hukumu hiyo huwa inatekelezwa vizuri tu. Ukihitaji jaribu ku search Google Gazeti la Mwananchi na simulizi ya askari aliyekuwa anatekeleza adhabu ya kifo.
Umekuja vizuri sana nami nakuelewesha, tumeacha kutekeleza hukumu ya kifo past 30 years ndugu yangu.
Huyu askari kweli alifanya hivyo, ila ukumbuke, alistaafu mwaka 2006, na ni miaka zaidi ya kumi aliacha kutekeleza kazi aliyoajiriwa, namkumbuka askari huyo na uko sahihi. Meaning kweli tulikua tunanyonga ila we don't do anymore.past 30 years hvo imebaki story. Alihojiwa mwaka 2016, na mwananchi na baadae na,TBC. Akionekana live kabisa. Sio yy tu wapo wengi.hvi alihojiwa Ten years since kustaafu. Na leo ni Ten years almost since hyo habari.
Hvo nakukumbusha.
Nina kamwanga kidogo maana mimi pia ni mwanasheria, na nilishasimamia kesi nyingi za haki za binadamu hapo Tanzania.
 
Back
Top Bottom