Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Kana mpuuzi wake mmoja kanamuita sijui Dady kanamchuna huko hakana lolote haka kavuta tumbaku, tena ukute kana mapengo.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha kuna watu humu huwa wanapost utafikiri malaika watakatifu,hiki siwezi fanya ,au anaweza shangaa kitu ambacho cha kawaida tu ,au kuona wengine malayaa kumbe wao ni balaa ila wanajificha kwenye post tu waonekane wema,ukiwajua in real life unaweza zimia aisee (japo wapo wenye tabia njema ila hawajigambi) wenzangu na mimi acheni kufake kwenye mnajulikana tu hata nyuma ya keyboard
Kuna watu humu wanawajua watu sana utafikiri wanaishi nao majumbani mwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni poa tu kuandika kitu rahisi sana
 
Kubumbebe webewebe nibi mbtobotobo waba shubulebe yaba mbsibingibi.
Rubudibi dabarabasabanibi ubunabakobosaba vibipibindibi. Ubukibifebelibi ubusibitubulabaubumubu mabaibishaba mabagubumubu.

Kasie Matata Tosimbana.
Kabasibiebe habababaribiabakobo
Nibimebefuburabahibi kubukubuobonaba ubunabatubumibiaba cobodibi kabamaba hibizbi
 
Goffman -social actors...sisi ni mapretender hata kwenye real life lol hata kwenye ulimwengu wa reality bado sisi ni actors tunatoa what we want others to see/think of us na sio sisi wenyewe kama tulivyo,jinsi tulivyo ni picha nyingine kabisaa …
Umemaliza da rebe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sawa mkuu
 
kweli ndio maana wengine leo wanaomba ushauri wa kukataa mimba kesho wanasema hawajawahi kula tunda. Wengi wanagafuta likes tu na trophies za JF.
 
Soma kilichoandikwa kama kinakufaa kichukue - hakikufai pita tu mdogo mdogo!
 
Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…