Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Nashangaa mida ya saa tisa hivi usiku au kumi niko online nime comment kawaida tu , nashangaa kana anza wewe nenda kalale sijui school boy utachelewa shule maisha magumu sijui na ushenzi gani , me nikajua labda utani tu kumbe ajuza kisimi kimemsimama anaendela tu kuni mwagia mvua ya matusi , nikaja kugundua kumbe heshima hana alafu anapoulizwa swali la msingi , nini kimekufNya unitukane hana jibu anaanza sijui kuna puzzle bwana wangu kanifanya nini sijui tunapenda nini , namuuliza kwani me nilikua nataka kukutongoza mpaka unaniletea mambo ya bwana yako , anazingua sana huyu bibi ameruka hatua ya maisha huyu bibi , hata kama me school boy yeye nini kinamuwasha nilimuita class tujisomee au nilishawai kumtia kidole , swala la elimu yangu yeye linamuhusu nini , ameniona wapi mpaka akajua mimi mwanafunzi ndio hilo puzzle lake analocheza na bwana wake usiku , watu hupitia kila hatua ya maisha kuanzia kutambaa mpaka kutembea mpaka uzee , nashangaa hiki kibibi mtu kuwa school boy anaona jambo la ajabu mpaka ashushe matusi humu , kama baba yake hakumpeleka shule asitake kushobokea watu , hiki kibibi wanakibetua sio bure.
Kana mpuuzi wake mmoja kanamuita sijui Dady kanamchuna huko hakana lolote haka kavuta tumbaku, tena ukute kana mapengo.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha kuna watu humu huwa wanapost utafikiri malaika watakatifu,hiki siwezi fanya ,au anaweza shangaa kitu ambacho cha kawaida tu ,au kuona wengine malayaa kumbe wao ni balaa ila wanajificha kwenye post tu waonekane wema,ukiwajua in real life unaweza zimia aisee (japo wapo wenye tabia njema ila hawajigambi) wenzangu na mimi acheni kufake kwenye mnajulikana tu hata nyuma ya keyboard
Kuna watu humu wanawajua watu sana utafikiri wanaishi nao majumbani mwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni poa tu kuandika kitu rahisi sana
 
Kubumbebe webewebe nibi mbtobotobo waba shubulebe yaba mbsibingibi.
Rubudibi dabarabasabanibi ubunabakobosaba vibipibindibi. Ubukibifebelibi ubusibitubulabaubumubu mabaibishaba mabagubumubu.

Kasie Matata Tosimbana.
Kabasibiebe habababaribiabakobo
Nibimebefuburabahibi kubukubuobonaba ubunabatubumibiaba cobodibi kabamaba hibizbi
 
Goffman -social actors...sisi ni mapretender hata kwenye real life lol hata kwenye ulimwengu wa reality bado sisi ni actors tunatoa what we want others to see/think of us na sio sisi wenyewe kama tulivyo,jinsi tulivyo ni picha nyingine kabisaa …
Umemaliza da rebe
 
Wapo smart kweli. Kuna mmoja alihitaji nimfanyie kazi fulani, siku kaja kunichukua na ford matata, home sasa nyumba kali ya ghorofa mbili, mkewe anasukuma bmw x5.he nikajisemea jamii forum s kuna balaa kumbe, nikashaangaa kwenye uzi mmoja anaomba kazi, yoyote achagui... Pumbavvvu [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae.

Kwahiyo usije ukajidanganya kuwa mtu fulani humu yuko hivi na hivi in real life kutokana na anavyo-comment/post humu. Tumeona watu wengi humu wakiwa judged in that way, kisa mtu anapost “kistaarabu/busara” basi huyo mtu anachukuliwa kuwa yuko hivyo in real life, mwingine akipost “pumba/jokes” basi wanamchukulia pouwa/kawaida. Mwingine akipost about the extravagant life, then atachukuliwa kama matawi ya juu. n.k Wanasahau kwamba all these assumptions might not even be true.

Remember, you only see what a person choose to show you. These are just personas. Watu humu ndani wanaandika/comment/post kwa mtindo fulani kutokana na sababu mbalimbali, mwingine as stress relieving, mwingine just trolling, wengine beacause of their own personal agendas.

We are all actors here playing a certain role, don't get addled by it.
sawa mkuu
 
kweli ndio maana wengine leo wanaomba ushauri wa kukataa mimba kesho wanasema hawajawahi kula tunda. Wengi wanagafuta likes tu na trophies za JF.
 
Soma kilichoandikwa kama kinakufaa kichukue - hakikufai pita tu mdogo mdogo!
 
Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
 
Back
Top Bottom