Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
-
- #21
Tatizo wasichana wengi ni waoga kuongea ukweli mbele ya bf wao...Ndiyo maana baadhi yetu huwa tunatumia uwezo wetu binafsi kuelewa matatizo yao.! Wengi wao huishia kwenda kupiga soga kwa mashoga zao kuhusu karaha wanazopata kutoka kwa bf wao
Tenda hii barafu wangu Bantu lady,,naona tuanzishe darasa sasa nyumbani!Ila kila mwanafunzi aje na mwenzie!
hahaaa naomba unifikishe kilele cha mlima kilimanjaro
Eeeehh...kweli na ntajitahidi nitengeneze sare ya hilo darasa...
Tenda hii barafu wangu Bantu lady,,naona tuanzishe darasa sasa nyumbani!Ila kila mwanafunzi aje na mwenzie!
Bantu lady, nimekuelewa...naelewa mahitaji ya watu wanapokuwa faragha. Ni lazma kuwa wazi na kuambiana pale inapotokea mmoja kutoridhika. Lakini pia si kutoridhishwa tu, hata mtu akikupa kitu roho inapenda sema "asante mpenzi, leo umenipa raha ya ajabu" au maneno unayodhani yatamfanya ajisikie furaha.Hapana Eli79 si wanawake kufikishwa tu, hapa nimeongelea kwa wote wanawake na wanaume.
Amini usiamini kuna wanaume wanalalamika kuhusu wanawake wao kutopata kile anachotarajia.
Umeonaee hubby wangu, sisi tutafanya kwa vitendo wanafunzi watafuatisha tunachofundisha.
Umekula lakini honey? luv u.
Umeonaee hubby wangu, sisi tutafanya kwa vitendo wanafunzi watafuatisha tunachofundisha.
Umekula lakini honey? luv u.
haha hao noumer au wanapiga mechi za michangani nini............
Hivi unaanzaje kumwambia mwanaume kuwa hujaridhika na game ukithubutu
sana sana ataona kama umemdharau tu
dawa ni kuendelea ku act kakukuna
mengineyo yanabaki kuwa siri ya mtungi
naa kweli shostito wangu NTERNTIONAL MECHI tena LEUGUE ooooh UEFA Lazima sheria 17 sifuatwe pale ndo kila kitu
Bantu lady, nimekuelewa...naelewa mahitaji ya watu wanapokuwa faragha. Ni lazma kuwa wazi na kuambiana pale inapotokea mmoja kutoridhika. Lakini pia si kutoridhishwa tu, hata mtu akikupa kitu roho inapenda sema "asante mpenzi, leo umenipa raha ya ajabu" au maneno unayodhani yatamfanya ajisikie furaha.
hayo mangine nilosema, i was being me.. i enjoy playing around..
...haha..watamani nikufikishe kilele kipi? manake naambiwa viko viwili..
nitakuja vingunguti kwa simba leo jioni, lol
Anhaaaaa sasa nmefurahi kugundua kua wanafunzi wenzangu mpo hapa naomba Bantu lady pa1 na Sungura wote tukutane katika darasa 1 tusome kwa pa1 kwani nyie hamtaki namie nfaulu kama nyie....??
Ni kweli Sweet maana kila siku malalamiko hayaishi hoo sifikishwi sifikishwi!Nishawaambia kila mtu aje na mpenzi wake tuwape shule!Nimekula honey,kimvua kinanyesha basi natamani nitoroke kazini nirudi nyumbani,tufanye rehesall jinsi tutakavyokuwa tunawafundisha wanafunzi!