HaleluuuuyaMoney is an illusion
kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
View attachment 3538545
Haya ndiyo matumaini yenu watu mnaosumbuliwa na stress za maisha!Money is an illusion
kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
View attachment 3538545
Sasa hiyo namba tatu utapata bila "Illusion"?Money is an illusion
kama kila siku hizi items 5 unazipata wewe ni tajiri usijipe stress.
View attachment 3538545
Halafu nasikia kama mwanaume hanyetuki basi ni wazi kuwa hana positive mental attitude (PMA). Kuna ukweli?iko hapo kwenye no.4 means ukiwa na positive mental attitude (PAM); inasaidia kuimprove well being which enhance physical health ndio kuna na nguvu za kiume ndani yake.
Unani-disappoint mkuu.hakuna ukweli hapo
Tofauti na Machaniko ya mikeka, Sina stress ingine! Hela ninayoibetia kila siku, wewe unawaza utaipataje mkono uende kinywani!wewe unasumbuliwa na stress za ni nini labda?
Endelea kujifariji na misemo ya motivational speaker, hela haitegwi inatafutwa tena kibabe ndiyomaana wenye pesa mjini ni matapeli kama Kikwete, Mimi, Moo (tapeli wa simba)nk.Money is an illusion,
hela haitafutwi inategwa.