Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

iko hapo kwenye no.4 means ukiwa na positive mental attitude (PAM); inasaidia kuimprove well being which enhance physical health ndio kuna na nguvu za kiume ndani yake.
Halafu nasikia kama mwanaume hanyetuki basi ni wazi kuwa hana positive mental attitude (PMA). Kuna ukweli?
 
Sijawahi kuwaza na sitawahi kuuwazia utajiri, utajiri huja wenyewe tu kama utakuwa na nidhamu,juhudi na maarifa, namaanisha uwe na nidhamu ya pesa,uwe na juhudi yaani ujitume katika mitikasi yako na maarifa namaanisha,ikiwa wewe humuamini mungu,jikite katika waganga pekee au kama unamwamini mungu wala usijisumbue kwenda kwa waganga,na kama huamini vyote kaa tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…