Usijipe stress kama kila siku unapata hizi items 5 wewe ni tajiri Money is an illusion

Tofauti na Machaniko ya mikeka, Sina stress ingine! Hela ninayoibetia kila siku, wewe unawaza utaipataje mkono uende kinywani!

Life isn't fair!
unajua dhamira yangu ya kuanzisha hii mada au unaniattack tu kwa mihemko
 
πŸ˜„ a roof over my head
Aliyeandika uzi huu inaonekana ana pesa kashajenga nyumba yake, halafu hana wale ndugu wenye stress za kulipa kodi January πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ushawahi kukosa nauli safari muhimu ukagundua hata pesa ndogo kama huna ni muhimu sana?

Ni rahisi sana kusema pesa si kitu muhimu kama unazo.
 
Aliyeandika uzi huu inaonekana ana pesa kashajenga nyumba yake, halafu hana wale ndugu wenye stress za kulipa kodi January πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…