Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

Acheni kudanganya watu, magufuli kabebwa na Mkapa!! Majaliwa na TISS wapi na wapi?
Muundo wa TISS c rahisi km mnavyofikiri,

Mkuu kwa comment yangu fupi hivo ndo unakua mkali kama mbogo alie jeruhiwa??????
Au una mambo mengine nisio yafahamu ??jaribu kua na staha hata kidogo
 
 
Waziri mkuu yoyote Yule lazima atoke kwenye system.usije ukadanywa na maneno yawatu eti Rais huwa anateua tu anae mpendeza
 
Ila pia kuna kitu Kimoja umesahau, ukiangalia ndani ya mtumbwi kuna majemedari watupu watu wakubwa kimamlaka na madaraka lakini wamemkabidhi Maisha yao dreams wa mtumbwi ambao haujathibitishwa hata na Sumatra.

Kwa maana nyingine wote walikuwa chini ya mwanakijiji mwenye mtumbwi. Somo hapo ni Kuwa Mungu hakupi kilakitu na binadamu tunategemeana kila mtu anaumuhimu wake kwa wakati wake usimdharau mwanadamu hatakama hana kitu anawezakuwa na hali na Maarifa ya kuweza kuokoa Maisha yako.
 
Na huyo capten, je unadhani kawa capten hapo kwa bahati mbaya? au mtumbwi wake pekee ndio ulikuwa na bahati ya kuwabeba hao viongozi na sio mitumbwi mingine?
 
Nimewiwa kufufua hii thread ili upate kujifunza maisha yalivyo.
 
Nani haonekani mnyenyekevu kwenye hiyo picha? Ili Majaliwa aonekane siyo mnyenyekevu alitakiwa kukaaje kwenye mtumbwi?
Hapo Majaliwa alikuwa akionekana mwenye cheo kidogo tu, Mkuu wa Wilaya. Pichani anaonekana ni mtu mnyonge tu, mnyeneyekevu mbele ya wezake.
 
Huyu Majaliwa sijui ana connection gani na Kikwete,maisha haya ukiwa na MTU chochote kinawezekana.
 

Miguu yao imeenda wapi?
 
Kumbe eeh

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri kwa jamii. Hakika hakuna aijuae kesho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…