Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono.
Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary and secondary schools na wengine walikosa mikopo university hivyo kazi kubwa ya huyu maza ni kukopa na kulipa ada.
Nyumba yake haina hadhi kama ya mtumishi wa umma.
Watoto wamemaliza vyuo wako tu nyumbani wanakula ugali. Ajira wamekosa, hana pesa ya kuwapa mitaji .
Usikope ili usomeshe.
Usiache kula vizuri pamoja na familia yako ili ulipe ada za watoto.
Jirani yangu wa kuungaunga anasomesha watoto 2 private school. Aisee jamaa kila mda yuko bize kusaka pesa. Kakonda, mlo duni, nguo habadili.