Usiku huu wa Desemba 31 umekukutia wapi?

Niko Chumbani nasubiria mwaka mpya nje mvua laini inanyesha tu.
 
Mimi nipo kwa Shem wangu wa kike mdogo wake wife. Tupo wawili tu ndani tushakula tumejifungia. Nyumba yake ni self mi nalala kwangu naye kwake. Ila wote tumetoka kuoga na mi nina bukta kifua wazi yeye ana suruali uji uji.

Feni lilisumbua kaja kunirekebishia kanigusagusa sana hapa nilipokaa. Sijui tutaupokeaje mwaka ngoja tuone
 
Tengeneza na taa basi
 
Back
Top Bottom