Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaahKitandani nimelala na mito yangu...
Tengeneza na taa basiMimi nipo kwa Shem wangu wa kike mdogo wake wife. Tupo wawili tu ndani tushakula tumejifungia. Nyumba yake ni self mi nalala kwangu naye kwake. Ila wote tumetoka kuoga na mi nina bukta kifua wazi yeye ana suruali uji uji.
Feni lilisumbua kaja kunirekebishia kanigusagusa sana hapa nilipokaa. Sijui tutaupokeaje mwaka ngoja tuone