Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

Usipochukua tahadhari utapata uchizi
 
Hivi we jamaa unanufaika nao vip Hawa nato inaonekana ni kaz unayolipwa kabasi unatumia nguvu nyingi sana
Green card, lazima aitumikie Yaweza kuwa masharti. Alijazishwa fomu kibao hadi kuipata hiyo green Card.
 
Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Nduli Putin Ukraine, wasema amepotisha historia yao!​

Rekebisha hapo kwny heading iwe:
'.... victory day' siyo victory say !
Pia: '..amepotosha' siyo amepotisha!
 
Hivi we jamaa unanufaika nao vip Hawa nato inaonekana ni kaz unayolipwa kabasi unatumia nguvu nyingi sana
Analipwa ili aje aisifie nato kwa kina iringakwanza na members wengine wa JF. Nato itakuwa inafanya marketing kupata wanachama wapya kutoka huku JF.
 
Putin ni MTU WA hovyo Tu pamoja na propaganda zake bado hali yake kiafya,kisaikolojia, kiuchumi hajakaa Sawa hata kidogo.
Baada ya hii vita amejiweka pabaya kwenye uraisi wake hajui kesho yake atakuwa wapi wala ataishia vipi ili kumaliza vita
 
Upo so obsessed with hate na Russia, mpaka naona una ugonjwa wa akili
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Macron said that the process of Ukraine's admission to the EU could take several years, even decades urraaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Putin ni MTU WA hovyo Tu pamoja na propaganda zake bado hali yake kiafya,kisaikolojia, kiuchumi hajakaa Sawa hata kidogo.
Baada ya hii vita amejiweka pabaya kwenye uraisi wake hajui kesho yake atakuwa wapi wala ataishia vipi ili kumaliza vita
Ametembea kwa dk 21 kutoka alipokuwa amekaa mpaka kwenda kuweka maua kwenye makaburi ya mashujaa..

Alafu unasema kiafya hayupo sawa.??

Biden anaweza kutembea kwa dk hizo.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…