Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Putin weka kigogo sukuma twende
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washawasha huyo , mrusi wa nkasiPutin weka kigogo sukuma twende
Nalog off Z
Usipochukua tahadhari utapata uchiziKila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa USSR ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2.
Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba “Путін помиляється, цей день перемоги СРСР проти Гітлера і нацистів не для приниження в Україні, яке закінчилося втратою нашої нації у війні”
Maana yake kwamba
Putin is wrong , this victory day is of USSR against Hitler and Nazi not for Humiliation in Ukriane which ended up in to loss of our Nation in the war
Wengi wamesema ni bora wauwawe Lakin siyo kupindisha ukweli juu ya historia yao,
Wakati huo huo madaktari wanaotarajia kumfanyia upasuaji Putin wamewekwa kwenye chumba maalumu kukagua mawasiliano yao! Simu Zote, e-mail, waliokutana nao baada ya vita kuanza, na miamala kwenye account zao za benk sehemu zinakotoka, pia nchi walizotembelea karibuni Kwa kuwekewa biometric screening’s…
Video yaja
Britanicca
Hivi kumbe ni kazee? Nilijuaga ni kabinti fulani karembo sana kwa kuangalia jina lake!! Kumbe huwa nakosea Sana🤣🤣🤣We kazee ni kaongo, umekaa kinafki na kishabiki.
Hoja yako ni ipi hasa hapa? Unakereka kwa yeye kumsema Putin au kuna lingine? Utaendelea kukereka sana kama utaendelea kufungua Thread zake [emoji846]Hivi we jamaa unanufaika nao vip Hawa nato inaonekana ni kaz unayolipwa kabasi unatumia nguvu nyingi sana
Anakereka na wakati huo huo amekaa standby kufungua kila mada yako [emoji3][emoji3]We inakuuma nini si nawewe utafte ulipwe! Na kwanini uje kwenye nyuzi zangu Kina Yerico siwapo Nenda wakufurahishe Kama unataka furaha isiyo na ukweli
Green card, lazima aitumikie Yaweza kuwa masharti. Alijazishwa fomu kibao hadi kuipata hiyo green Card.Hivi we jamaa unanufaika nao vip Hawa nato inaonekana ni kaz unayolipwa kabasi unatumia nguvu nyingi sana
Rekebisha hapo kwny heading iwe:Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Nduli Putin Ukraine, wasema amepotisha historia yao!
Analipwa ili aje aisifie nato kwa kina iringakwanza na members wengine wa JF. Nato itakuwa inafanya marketing kupata wanachama wapya kutoka huku JF.Hivi we jamaa unanufaika nao vip Hawa nato inaonekana ni kaz unayolipwa kabasi unatumia nguvu nyingi sana
HahaAnakereka na wakati huo huo amekaa standby kufungua kila mada yako [emoji3][emoji3]
Upo so obsessed with hate na Russia, mpaka naona una ugonjwa wa akiliKila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2.
Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba “Путін помиляється, цей день перемоги СРСР проти Гітлера і нацистів не для приниження в Україні, яке закінчилося втратою нашої нації у війні”
Maana yake kwamba
Putin is wrong , this victory day is of USSR against Hitler and Nazi not for Humiliation in Ukriane which ended up in to loss of our Nation in the war
Wengi wamesema ni bora wauwawe Lakin siyo kupindisha ukweli juu ya historia yao,
Wakati huo huo madaktari wanaotarajia kumfanyia upasuaji Putin wamewekwa kwenye chumba maalumu kukagua mawasiliano yao! Simu Zote, e-mail, waliokutana nao baada ya vita kuanza, na miamala kwenye account zao za benk sehemu zinakotoka, pia nchi walizotembelea karibuni Kwa kuwekewa biometric screening’s…
Video yaja
Britanicca
View attachment 2217435
Ametembea kwa dk 21 kutoka alipokuwa amekaa mpaka kwenda kuweka maua kwenye makaburi ya mashujaa..Putin ni MTU WA hovyo Tu pamoja na propaganda zake bado hali yake kiafya,kisaikolojia, kiuchumi hajakaa Sawa hata kidogo.
Baada ya hii vita amejiweka pabaya kwenye uraisi wake hajui kesho yake atakuwa wapi wala ataishia vipi ili kumaliza vita
Ukraine atashinda vita na kurejesha mpaka Crimea.
Wameandamana Bro. Tumewaona..[emoji23]Haha