Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

Endelea kuumia, sisi tuko byzy na sherehe zetu [emoji23]

[emoji116][emoji116][emoji116]

Cry more
IMG_20220509_141107.jpg
IMG_20220509_141238.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2022-05-09-14-12-16-399.jpg
    Screenshot_2022-05-09-14-12-16-399.jpg
    40.6 KB · Views: 10
Putin ni MTU WA hovyo Tu pamoja na propaganda zake bado hali yake kiafya,kisaikolojia, kiuchumi hajakaa Sawa hata kidogo.
Baada ya hii vita amejiweka pabaya kwenye uraisi wake hajui kesho yake atakuwa wapi wala ataishia vipi ili kumaliza vita
Nonsense
 
Analipwa ili aje aisifie nato kwa kina iringakwanza na members wengine wa JF. Nato itakuwa inafanya marketing kupata wanachama wapya kutoka huku JF.
Hii comment siyo ya kila mtu I guess
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Macron said that the process of Ukraine's admission to the EU could take several years, even decades urraaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu mtapagawa sana na hii vita,hatuna cha kuwasaidia maana mnajiona mpo sawa kumbe ndiyo mnahitaji msaada zaidi wa kisaikolojia
 
Ametembea kwa dk 21 kutoka alipokuwa amekaa mpaka kwenda kuweka maua kwenye makaburi ya mashujaa..

Alafu unasema kiafya hayupo sawa.??

Biden anaweza kutembea kwa dk hizo.??
Putin ni dhaifu ki afya hili wala halihitaji kusemewa,uzuri tumejionea wote LIVE so hakuna nafasi ya kutwist ukweli katika hili
 
We inakuuma nini si nawewe utafte ulipwe! Na kwanini uje kwenye nyuzi zangu Kina Yerico siwapo Nenda wakufurahishe Kama unataka furaha isiyo na ukweli
You must be paid for, sio kwa nyuzi zako za kisilaani humu kwa Russia
 
Back
Top Bottom