STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile OP nihalali wala haihitaji uhalali wowote mbona MKUUPutin anaitumia hii siku kuhalalisha uvamizi huko Ukraine.
NonsensePutin ni MTU WA hovyo Tu pamoja na propaganda zake bado hali yake kiafya,kisaikolojia, kiuchumi hajakaa Sawa hata kidogo.
Baada ya hii vita amejiweka pabaya kwenye uraisi wake hajui kesho yake atakuwa wapi wala ataishia vipi ili kumaliza vita
Hii comment siyo ya kila mtu I guessAnalipwa ili aje aisifie nato kwa kina iringakwanza na members wengine wa JF. Nato itakuwa inafanya marketing kupata wanachama wapya kutoka huku JF.
Ila wewe ugonjwa wako wa akili huuoni wa kutokwa na povu na kila comment against Putin [emoji3][emoji3]Upo so obsessed with hate na Russia, mpaka naona una ugonjwa wa akili
Kuna watu mtapagawa sana na hii vita,hatuna cha kuwasaidia maana mnajiona mpo sawa kumbe ndiyo mnahitaji msaada zaidi wa kisaikolojia[emoji91][emoji91][emoji91]Macron said that the process of Ukraine's admission to the EU could take several years, even decades urraaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin ni dhaifu ki afya hili wala halihitaji kusemewa,uzuri tumejionea wote LIVE so hakuna nafasi ya kutwist ukweli katika hiliAmetembea kwa dk 21 kutoka alipokuwa amekaa mpaka kwenda kuweka maua kwenye makaburi ya mashujaa..
Alafu unasema kiafya hayupo sawa.??
Biden anaweza kutembea kwa dk hizo.??
Mikwara kama ya Kiduku tu hii [emoji3]Endelea kuumia, sisi tuko byzy na sherehe zetu [emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Cry moreView attachment 2218009View attachment 2218011
Ningeshangaa sana kama siku ingepita bila hili neno kutoka kwako 'mr nonsense" [emoji846][emoji846]Nonsense
HahahaKuna watu mtapagawa sana
Siandiki thread 5 kwa siku kutetea ujingaIla wewe ugonjwa wako wa akili huuoni wa kutokwa na povu na kila comment against Putin [emoji3][emoji3]
You must be paid for, sio kwa nyuzi zako za kisilaani humu kwa RussiaWe inakuuma nini si nawewe utafte ulipwe! Na kwanini uje kwenye nyuzi zangu Kina Yerico siwapo Nenda wakufurahishe Kama unataka furaha isiyo na ukweli
ushindi kwa ukrain ni mweupe mnooUkraine atashinda vita na kurejesha mpaka Crimea.
Lakini Britannica si anaishi Urusi?Green card, lazima aitumikie Yaweza kuwa masharti. Alijazishwa fomu kibao hadi kuipata hiyo green Card.
Sawa Mkuu.Lakini Britannica si anaishi Urusi?