Kweli kabisa mkuu tupambane maisha yenyewe hayaeleweki.Ndio ndio maisha yapo speed inabidi tuyakimbize
Wale ambao usiku hatulali kama popo ambao kwetu usiku ni kama mchana tu tujuane hapa,
Mimi napiga mishe zangu usiku yaani full kuingiza maokoto, wakati wengine wamelala mie napiga mzigo huku naperuzi zangu Jamiiforums inipe kampani.
Njoo tupige stori kuusindikiza usiku wetu
huu ni usiku au alfajiri mkuutupo😂