X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
mimi nimeiona hii asubuhi....sasa kwa uhungwana nikikwambia asubuhi njema si nitakuwa sijakosea kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiku mwema Mad MaxPamoja sana Usiku Mwema. Kuna makamanda ndio wanaingia job sahivi Baba Swalehe all the best
usiku mwema Unforgetable
usiku mwema Prince Mhandomimi nimeiona hii asubuhi....sasa kwa uhungwana nikikwambia asubuhi njema si nitakuwa sijakosea kijana
Na kwako pia mkuu
usiku mwema BehaviouristKama kutwa nzima unahangaika kwenye thread, Taifa unajenga saa ngapi mkuu?
Mdogo wangu, usinilaze wakati sijamaliza kula chips zangu hapa tafadhali sana!!usiku mwema SweetieLee
najua chips za jana zilikua za kfc sjui, haya leo unakula nini maana mida ya kukuaga ndio ishafika?Mdogo wangu, usinilaze wakati sijamaliza kula chips zangu hapa tafadhali sana!!