Usiku mwema

Usiku mwema

mimi nimeiona hii asubuhi....sasa kwa uhungwana nikikwambia asubuhi njema si nitakuwa sijakosea kijana
 
Baada ya mishemishe za siku, wengine wamepata wengine wamepatikana, sasa ni muda wa kulala.

wanaoingia shift za usiku, all the best, sisi ngoja tulale.

usingizi ni free trial ya death, ndio maana muhimu sana tuagane. Usiku Mwema wakuu.
 
Back
Top Bottom