cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
kwa kweli kama hivi ninavyojisikia leo,mafua na homa juu,kila sehemu inaniuma,hata pazia likinigusa napatwa na hasira,ningekua nimeolewa sijui ingekuaje leo maana ningegeukia zangu ukutani.
Hata hivyo sio lazima mfanye kila siku,kuna siku mtu hajisikii.kuna siku mnaweza kuongea tu mambo matatmu matamu bila actions,hayo pia ni mapenzi lkn ukitaka kila siku mmmh haiwezekani.
Hata hivyo sio lazima mfanye kila siku,kuna siku mtu hajisikii.kuna siku mnaweza kuongea tu mambo matatmu matamu bila actions,hayo pia ni mapenzi lkn ukitaka kila siku mmmh haiwezekani.