Usiku umefika, Unataka lakini mwenzio mhh!!!!!!!! Unafanyaje?????

Usiku umefika, Unataka lakini mwenzio mhh!!!!!!!! Unafanyaje?????

kwa kweli kama hivi ninavyojisikia leo,mafua na homa juu,kila sehemu inaniuma,hata pazia likinigusa napatwa na hasira,ningekua nimeolewa sijui ingekuaje leo maana ningegeukia zangu ukutani.
Hata hivyo sio lazima mfanye kila siku,kuna siku mtu hajisikii.kuna siku mnaweza kuongea tu mambo matatmu matamu bila actions,hayo pia ni mapenzi lkn ukitaka kila siku mmmh haiwezekani.
 
Ukiona hivyo ujue kachoka na kifo cha mende. Try a different posture, like spoons in the drawer....... LOL
 
mwanaume anakula food rich in iron na mazoezi, all kinds of nuts, seafoods
mwanamke naye mazoezi kwa wingi
 
kwa kweli kama hivi ninavyojisikia leo,mafua na homa juu,kila sehemu inaniuma,hata pazia likinigusa napatwa na hasira,ningekua nimeolewa sijui ingekuaje leo maana ningegeukia zangu ukutani.
Hata hivyo sio lazima mfanye kila siku,kuna siku mtu hajisikii.kuna siku mnaweza kuongea tu mambo matatmu matamu bila actions,hayo pia ni mapenzi lkn ukitaka kila siku mmmh haiwezekani.
hahaaa cheusi hapo umenichekesha, inaonekana ungeukia ukutani akikugusa tu vipepsi vingemuhusu, ungempiga vipepsi mpaka akome.
 
Ukiona hivyo ujue kachoka na kifo cha mende. Try a different posture, like spoons in the drawer....... LOL
hahaaaa mi leo nijichekee tu, kwa hiyo mshkaji anakosa hata mbinu, hiyo yakutaa pengine ni staili ya mbuzi kagoma kwenda.
 
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.
Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku

Hiyo ni style inaitwa mzigo umegoma kuliwa, ukiona hivo jifanye humind lala then mzukie badae, au anza kulalamika ukiwa na nyumba ndogo mtu anaanza kulia ovyo afu na we geuka uone mzigo utaombwa wewe tena kwakubembelezwa, ila na wewe mzigo sio lazima usiku, kuhusu mara ngapi inategemea na nyinyi mnatakana kwa kiasi gani.
 
hahaaa cheusi hapo umenichekesha, inaonekana ungeukia ukutani akikugusa tu vipepsi vingemuhusu, ungempiga vipepsi mpaka akome.

haha usinichekeshe, vipepsi vya kudeka lakini,angeishia kusoma plate number ila vipepsi kwa laaziz nilikatazwa unyagoni.
 
hahaaaa mi leo nijichekee tu, kwa hiyo mshkaji anakosa hata mbinu, hiyo yakutaa pengine ni staili ya mbuzi kagoma kwenda.
Maboresho muhimu ati, ugali unaweza kuliwa na mboga nyingi tu. Ugali maharwe kilasiku unachosha.......
 
Mwingine anakuambia nimechoka kila siku,akifika toka kazini anaanza kulalamika amechoka,anaangalia tamthilia,majambos hataki kutoa miezi hata miwili na wewe hutaki kumlazimisha lakini unabembeleza kila siku mpaka unakata tamaa utafanyeje? mpaka ndoa inakuwa kama kifungo
 
huyo hana feeling na wewe,au au kama sivyo atakuwa na matatizo mengine lakn atakua hayuko normal.
 
mara moja kwa wiki mbili so marambil kwa mwez
zngatia giza totoroooooo (only night)na chumba kifungwe wakat mna doo

We mchoyo sana!!, mbona kubania hivyo, taa izimwe na mlango ufungwe na kufuli!!!!!!!!!!!!
 
TENA USIKUmda wa vichenchede huo vipo vinasubiri kutoa huduma,Atakuwa kachoka au yupo off mood SO nenda kwa lio na fuluNETWORK 24*30*12=365 NETWORK,WENGINE WAKO CHINI YA HAPO SO UKIMLAZIMISHA UTAHARIBU MAMBO JIONGEZE..................................:A S-alert1:
 
haha usinichekeshe, vipepsi vya kudeka lakini,angeishia kusoma plate number ila vipepsi kwa laaziz nilikatazwa unyagoni.
Haya bwana mambo ya kufundwa hayo, mh lakini wewe unaonyesha kumbe staki na taka angebeleza 2 ungekumbuka mahusia ya kufundwa ukakubali wewee.
 
Maboresho muhimu ati, ugali unaweza kuliwa na mboga nyingi tu. Ugali maharwe kilasiku unachosha.......
Halafu jamaa anaonyesha king'ang'a ndo mana ananyimwa, sikuzingine angejifanya kupotezea na yeye, halafu kifo cha mende kina maliza nywele kichogoni.
 
Back
Top Bottom