Usiku umekuwa mgumu sana

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
Wakuu habari.

Kama nilivyowasanua, jana kuwa nimeanza pep within 72 hrs, aisee usiku wa leo nimeota ndoto za ajabu sana.

Nimeamka hapa mwili mzima una nuka pep TLD.

Aiseee kama pep ikiisha nikapima nikawa negative mm na ngono itakuwa ni maji na moto nimekoma.
 
Sijui inakuwaje na hayo yanayokusibu, ila najua mambo mengi ukiyafikiria sana hata immune ya mwili wako inashuka na unaweza jiletea mengine ambayo umejitakia. Nakushauri ujitahidi kutulia jiweke bizi na mengine na siku ziende. Hayo ya ndoto nilimsoma mtu kakuambia kwa ule Uzi wako kuwa yatakujia usishangae Wala kushtuka.. hivyo kuwa strong umalize siku. Pole na kila la kheri
 
Hivi PEP zinauzwaje??tuanze na hilo kwanza
 
Dah shukran sana
 
tafsiri ya hiyo ndroto ni rahisi sana....

ni ama umezidisha dozi au ulifakamia bia ya bure ukajisahaulisha kwamba uko na dozi....

pole chalii yangu leo gonga maji sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…