Usiku umekuwa mgumu sana

Usiku umekuwa mgumu sana

Sisi wengine ambao hatuna hivyo vifaa vya blood testing wala access na PEP ndo tufe tu au siyo
 
Wakuu habari.

Kama nilivyowasanua, jana kuwa nimeanza pep within 72 hrs, aisee usiku wa leo nimeota ndoto za ajabu sana.

Nimeamka hapa mwili mzima una nuka pep TLD.

Aiseee kama pep ikiisha nikapima nikawa negative mm na ngono itakuwa ni maji na moto nimekoma.
Hata mm nilisema hvyo lkn kiko wapi japo nimepunguza ile speed ya wanawake now nimekuwa mtu wa ibada sana
 
Pole sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Labda kama Siyo manjegeka🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom