Aliambia abakishe maneno akajidai mzoefu wa kutapika, leo atayalamba mataposhi yake mwenyewe
Tutajua yupi wa mchangani na yupi wa kimataifa
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).
Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.
#Rorkstar4000 , #papleeeni
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!tatizo nyotaaaa
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.
Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.
Atakimbia kwenda kufungua uzi mwingine wa musemaje unajua, diamomd kanunua tuzo we ngoja leo utajua akili ya viazi zinavyofikiri
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.
Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.
Mimi sio shabiki wa diamond na Kiba, ila huwa nashangaa sana mtu anapomfananisha au kumlinganisha diamond na Kiba, wapo level tofauti mno yaani. How can someone ACT that blind😓
Mimi sio shabiki wa diamond na Kiba, ila huwa nashangaa sana mtu anapomfananisha au kumlinganisha diamond na Kiba, wapo level tofauti mno yaani. How can someone ACT that blind😓
Hahahahaaaa sinimewaambia kwenye uzi wa awali, huyu jamaaa atafungua uzi mwingine,Funguka wazi wazi wee sema tu kuwa diamomd kanunua tuzo si ndivyo mnavyosemaga
Na we si ndo mganga wakeuchawi tu hamna kingine.
Leo ninaendelea kukubali kweli KIBA ni wa hapahapa hadi pozi kwa pozi kapata yeye kakosa!!!!!!!!!!,asubili KTMA ILI MALA ...... WA INSTAGRAM wamnunulie.Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.
Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.