Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).

Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.

#Rorkstar4000 , #papleeeni

Mtoa uzi umenyooshwaaaaaaaaa hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ha ha ha we Jamaa jana tulikuambia uweke akiba ya Maneno ona sasa,

Mtanyooka tu
 
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.

Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.

Hahahahaaaa sinimewaambia kwenye uzi wa awali, huyu jamaaa atafungua uzi mwingine,Funguka wazi wazi wee sema tu kuwa diamomd kanunua tuzo si ndivyo mnavyosemaga
 
Kiba anakura nyingi??? May be yes! BUT all votes from Tanzania, so in other hand diamond anakura chache?? May be yes! BUT from all over the african countries and farther now u know what it is eeeh!!!???? THIS MEANS MSANII KUTAWAZWA BEST OF AFRICA anakubalika na nchi zote za africa
 
Mimi sio shabiki wa diamond na Kiba, ila huwa nashangaa sana mtu anapomfananisha au kumlinganisha diamond na Kiba, wapo level tofauti mno yaani. How can someone ACT that blind😓

Waambie hao wabishi kuelewa
 
Hivi wanaomlinganisha Mond na Kiba huwa ni serious discussion au Kujaribu kumpa promo kiba?
Honestly Kiba hawezi kuwekwa group moja na Mond, labda na akina ommy dimpoz.
Ukweli mchungu.
 
Mimi sio shabiki wa diamond na Kiba, ila huwa nashangaa sana mtu anapomfananisha au kumlinganisha diamond na Kiba, wapo level tofauti mno yaani. How can someone ACT that blind😓

Umeona eeh
 
Hahahahaaaa sinimewaambia kwenye uzi wa awali, huyu jamaaa atafungua uzi mwingine,Funguka wazi wazi wee sema tu kuwa diamomd kanunua tuzo si ndivyo mnavyosemaga

Teh teh aende straight sio kuongea indirectly, 😂😂
 
hata km ali kiba ana kura nyingi za wabongo... kumbuka diamond anapigiw na watu wengi wa nje ya nchi. anayesema ni uchawi, ni fikra fupi tu. labda ndio maana tunachukua namba moja kweny imani za kishirikina lakini wa mwisho kimaendeleo. diamond kumshinda ali kiba ni inevitable
 
Afrimma wanaesabu kura kutoka nchi tofauti diamond kapigiwa kura na nchi nyingi za africa amepata kura kutoka kenya, uganda, zambia, botswana, nigeria , ghana, somalia, south africa, rwanda, drc na burundi , yeye alikiba ukitoa bongo amepata kura kenya na rwanda kidogo, hata hivyo kura zina 50% ya kukupa ushindi
 
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.

Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.
Leo ninaendelea kukubali kweli KIBA ni wa hapahapa hadi pozi kwa pozi kapata yeye kakosa!!!!!!!!!!,asubili KTMA ILI MALA ...... WA INSTAGRAM wamnunulie.
 
Back
Top Bottom