Usiku wa deni haukawii kucha. Wananchi kumbukeni hili siyo kombe la loser

Usiku wa deni haukawii kucha. Wananchi kumbukeni hili siyo kombe la loser

Kumekucha!

Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
Baada ya hili angalizo lako, ulitakiwa kurudi kutoa pongezi. Na siyo kusijificha kama mbuni.
 
Back
Top Bottom