Ahadi ni deniAnd why 16th Feb, why not before or after! I mean why it is specifically on 16th Feb?
positiveAhadi ni deni
Usiku wa deni haukawii kucha
SubhanAllah!
Hii nchi inaongozwa na mazezeta bora kutokuwa na uongozi kabisa.SubhanAllah!
Lakini,huwa wanawaimbia kwa fujo,deko na masimango kwamba mliwapenda wenyewe.Mtaisoma nambaaaa...CCM mbele kwa mbeleee!Hii nchi inaongozwa na mazezeta bora kutokuwa na uongozi kabisa.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Ikiwa ni tarehe 15 ya February ni takribani masaa pungufu ya 24 kufikia tarehe 16, Je tutegemee ngonjera za kila siku na sababu zisizo na kichwa wala miguu au tujipe matumaini ya kuiona nchi ya ahadi[emoji419][emoji375]Wasalaam,
Zile mbilinge mbilinge, sarakasi na maigizo ya kuwachomoa wakina Maharage Chande na kina "kipara", matamko yasiyo kwisha na sababu lukuki zisizo za msingi za kukosekana kwa umeme wa uwakika katika nchi yetu ya "tanzagiza" yamefika ukingoni baada ya ahadi ya "mama Abduli" ya kumaliza kero ya umeme ifikapo tarehe 16 February 2024.
Ikiwa ni tarehe 15 ya February ni takribani masaa pungufu ya 24 kufikia tarehe 16, Je tutegemee ngonjera za kila siku na sababu zisizo na kichwa wala miguu au tujipe matumaini ya kuiona nchi ya ahadi?
USIKU WA DENI HAUKAWII KUKUCHA!
Wasalaam.
View attachment 2904416View attachment 2904417