Usiku wa deni haukawii kukucha, TANESCO tunawasubiri Februari 16, 2024

Acha uchochezi, kwani walitaja mwaka? Au ni Tarehe na Mwezi tu 😂
 
Hizo ni ngonjera tu.
Je walisema kuwa kabla ya hiyo tarehe 16 ni kipi na kipi kilikuwa kinawakwamisha na je hiyo 16 ni kipi na kipi kitakuwa kimeongezeka(kimetengemaa)

Chukulia SGR kama mfano hai mdio utajua kama hizo ni porojo, wameshatuona watanzania ni mazombie sijui, wanajua hatuna cha kuwafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…