Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025.

Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za mitaa,taa za barabara madaraja, hospitali ya wilaya, miradi ya ujenzi wa Stand mpya ya kisasa na mradi wa maji ya ziwa victoria tunaamini chini yake tutafika mbali.

Sisi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekuwa naye kwenye shida na raha ,kwenye misiba na kwenye sherehe kama za biharamulo festival ,Ezra CUP NA BSS.

Sisi wadau wa maendeleo wa wilaya tumemuona na kumsikia kila mjadala wa bunge mbunge wetu akipaza sauti kupambania maslahi ya wilaya yetu, na tumekuwa naye katika kusimamia na kutembelea miradi iiliyo/inayo tekelezwa na serkali hapa wilaya.

SISI WADAU WA MAENDELEO TUTAMKABIDHI TUZO YAKE TAREHE 15 .6.2025 KATIKA UKUMBI WA REST HOUSE BIHARAMULO KUONESHA KUIPA HESHIMA KAZI YAKE MAANA AMETUHESSisi wadau wa maendeleo tunependa kushiriki kikamilifu kwa upendo wa Agape kumtunza TUZO mkuu wetu wa wilaya kwa KAZI KUBWA ALIYOIFANYA WILAYA KWETU TANGU AMEINGIA HAPA WILAYA.

Sisi wadau wa maendeleo wa wilaya ya biharamulo TUNAMSHUKURU MHE RAIS SAMIA SULUHU HASAN kwa kutuletea mkuu wa wilaya Mtendaji, msikivu,mshauri, katika wilaya yetu.

Tangu mkuu wa wilaya Mh SACP ADVERA BULIMBA awasili hapa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya imekuwa shwari, amani kila mtaa ,kila kijiji wananchi wanafanya shughuli zao za kujitafutia maendeleo bila wasiwasi.

Sisi wadau wa maendeleo tume kuwa naye kwenye site za ujenzi wa miundombinu ukipambana na leo tunajivunia maendeleo ya wilaya yetu na kutambua juhudi zako .

Wanabiharamulo tunaimani na wewe na tunakombea kwa Mungu.

Tuzo hii ni heshima yetu kwako kwa kutuh
23fcffe422184a1e8420ab5d6eb15c9d.jpg
IMG-20250615-WA0033.jpg



eshimishaHIMISHA
 
SI mlisema kazi ni ya mama. Sasa yeye amefanya kazi Gani?
 
Back
Top Bottom