Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

Kwa kifupi mshahara ni mbegu
 

Watumishi waumma nao wafanyeje?wakajiajiri wote ukiumwa utatibiwa na nani?
 
Mishahara ni utumwa kwa nchi ambazo hazijajipanga na hazina maono .
 
[emoji817]
 
Hao polisi na madaktari wanatakiwa wafanye kazi miaka 10-15 watafute mitaji wajiajiri,then wawaachie graduates nao watafanya hivyo hivyo wataawaachia wengine,
Hapo hakutakua na tatizo la ajira sababu vijana weng wataajiriwa,halaf pia wafanyabiashara hawatafilisika sababu kutakua na purchasing power kubwa toka kwa hao vijana.
Simple mathematics
 
waulize wanaofanya kazi BOT,TRA,TANAPA na mashirika mbalimbali ya UN,,,uone watakavyokushambulia,hili jambo waambie walimu,mgambo,polisi,manesi,na wafanyakazi wa halmashairi!!!,,,sawa man?
 
Si kila mtu anataka kujiajiri, si kila mtu anataka risk.

Si kila mtu anaweza kujiajiri, si kila mtu anaweza stress na risk na planning na calculations zote zinazotakiwa ili mtu apate mafanikio katika kujiajiri.

Kwa nini mnalazimisha kila mtu ajiajiri?

Unaweza kulazimisha kila mtu awe mcheza mpira professional hata kama hana kipaji cha kucheza mpira au hata mapenzi na mpira?

Hicho ndicho mnachotaka kufanya hapa.
 
Fanya kazi bure.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kuna kustaafu umesaliwaza hilo na ukishastaafu apo ndio utajua hujui
kwanini unafukua uzi 😂😂
Umemiss mshahara au huna? Ulikuwa unatafuta nini?

Ya uzee yatajisumbukia na kikokotoo babu we
 
Jinga jingine hili linashinda njaa linawafundisha ushoga wadogo zetu
 
Jinga jingine hili linashinda njaa linawafundisha ushoga wadogo zetu
acha tu ndugu yangu,,,,yaani mimi nina watoto wawili wa kiume na wa kike wawili,lakini namwomba sana MUNGU anilindie hawa watoto wa kiume,unajua ndugu,bora mtoto wa kike akazalia nyumbani kuliko ukawa na mtoto wa kiume shoga,,,"unaweza kujiua"''''"""ee MWENYE-ENZI MUNGU tuepushe na hili BALAA!!"
 
Wewe mwenyewe ung
ekuwa na kazi au biashara nzuri hata huu muda wa kupoteza kuandika ulichokiandika hapa usingeupata ila kwasababu huna kazi wala biashara ya kukuweka bize ndio maana unaandika haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…