Khosa
Member
- Apr 21, 2021
- 13
- 21
Mi tangu upewe kitu kidogo na mitandao ya simu usitishe movement yako ya naishtki mitandao ya simu ifuatayo..sikuamini tena bwana mdogo
Naona amekuja kujitangaza hapa mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi tangu upewe kitu kidogo na mitandao ya simu usitishe movement yako ya naishtki mitandao ya simu ifuatayo..sikuamini tena bwana mdogo
Wakili MSOMI,nashukuru kwa ufafanuzi wako hapo hiyo form unaletewa katika mazingira gani?Hati uwe na uwezo wa kutosaini!?USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye kuijaza.
Fomu hii huitwa Certificate of Seizure. Fomu hii hujazwa hasa pale ambapo katika upekuzi kuna chochote kinatakiwa kuchukuliwa kama ushahidi(exhibit).
Ni fomu ambayo huoredhesha mali ama vitu ambavyo umekutwa navyo. Chochote ambacho umekutwa nacho ambacho wao wanatakiwa kukichukua/kuondoka nacho kama ushahidi basi huorodheshwa.
Hata kama kidogo kama pipi ama sindano madhali wanatakiwa kukichukua kwa ajili ya upelelezi basi hutakiwa kuorodheshwa kwenye hiyo fomu/hati.
Aidha, ni muhimu kujua kuwa ikiwa unapinga kuhusu kile kinachochukuliwa kuwa hukukutwa nacho ama hakikukutwa kwako basi usikubali kusaini fomu hiyo.
Hii ni kwasababu kukubali kwako kusaini fomu hiyo tafsiri yake kisherria ni kuwa umekubali kuwa umekutwa na hicho kitu.
Na endapo utafikishwa mahakamani basi fomu hiyo itawasilishwa kama ushahidi na kwasababu ulisaini basi ulikubali kuwa ulikutwa na kitu hicho.
Vinginevyo uwe unakubali kuwa ni kweli hicho kitu umekutwa nacho, basi hapo waweza kusaini. Lakini kama hukubali basi usisaini.
Msimamo huu ni wa Mahakama ya rufaa kupitia kesi ya SONG LEI VS THE DPP, AND THE DPP VS XIAO SHAODAN and Two Others, Consolidated Criminal Appeal Nos. I6'A' of 2016 & 16 of 2017, ambapo mahakama ilisema kuwa kusaini hati/fomu ya upekuzi ya mali zilizochukuliwa ni kukubali kuwa umekutwa na huo ushahidi.
Katika hii kesi raia wa China walisaini Pembe za Wanyama kukutwa ndani ya gari lao na ndo ukawa ushahidi dhidi yao.
Maamuzi mengine mengi yameeleza msimamo huu kuwa ukikubali kusaini umekubali kukutwa na huo ushahidi.
Ni muhimu sana kulijua eneo hili la mtego ambalo linaweza likakupeleka jela na yafaa basi kuwa makini katika mazingira hayo.
Namkumbuka sana aisee raia tulimuamini tukawa tayari kumuunga mkono mwenzetu kala kidogo kitu akakaushaNaona amekuja kujitangaza hapa mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
yamewahi kukukuta nini?
Kwa hiyo we ukisainishwa kitu ambacho unahakika hakikuwepo kwako utasaini?Huyu ni Wakili kweli?? na mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini..
kumbe Ni inawezekana mkuu!Una sign signature ambayo si yako ukifika mahakamani unawakata kiulaini,hakuna haja ya kubishana nao hawa jamaa ni wajinga kweli kweli wakiwa katika anga zao wanaweza kukuumiza vibaya kisa ubishi wa kijinga ambao mwisho wa siku ukitumia akili unawaacha kwenye mataa.
Mkuu uyo ni advocateHakuna Wakili hapo, Mbabaishaji uyo
Huyu ni Wakili kweli?? na mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini..
Amesema unakataa kusaini kama kunakitu unaona hakipo sawa. Ametoa mfano hata kama nikitu kidogo kama sindano wakijaza fomu kwamba wameondoka nacho wakati wewe kwako hakikuepo,usisaini fomu hiyo. Bilashaka wakili yupo sahihiHuyu ni Wakili kweli?? na mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini..
Bora nguvu itumike kuliko kusaini kitu nisichokubaliana nacho. After all, kwanini kuweka mazingira ya kumfunga mtu kwa kutumia uongo?Bahati mbaya hao jamaa kuna wakati mwingine hutumia nguvu badala ya ustaarabu kukusainisha! Virungu nje nje!! Biti kali!! nk.
Sasa kama hujafikia viwango vya ununda, itakulazimu tu kusaini.
Umesoma vizuri kilichoandikwa? Ebu rudia tena kusoma alichokiandika mleta mada halafu jitafakari na ulichokiandikaHuyu ni Wakili kweli? Nina mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini.
Huyu ni Wakili kweli? Nina mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini.
wewe ni mwanasheria mchanga, bado una safari ndefu. kwa taarifa yako, hata usiposaini, lakini wamesaini independent witnesses, haimaanishi certificate of seizure haitapokelewa mahakamani, na haimaanishi haitakuwa na mashiko. usipoteze wenzako maboya. halafu, hivi kwa akili yako huwa kuna mtu anayesaini kwa kupenda au ameshavurugwa kwa kichapo na vitisho? ati usikubali,wanasheria huwa mnapotosha sana watu kwa vitu vya wazi. chukulia mfano hao kina song lei, wanakutwa na pembe za ndovu sijui faru live kwenye gari yao au kwenye begi, au mtu anakutwa na kichwa cha mtu kwenye mfuko, auu mtu anakutwa na unga tumboni au kwenye begi, unaanzaje kukataa kwa mfano, hata wakikuzaba kibao watakuwa wamekuonea kweli? na hakuna ushahidi kama ulichapwa wala nini....hujawahi kamatwa ndio maana unaongea hivyo, ukija kufanya kosa la maana ukakamatwa ukawa peke yako chumbani kule polisi utajua kama mtu anaweza kusaini au akawa na uhuru kukataa. unaweza kukataa kama wanakubambika, n a wao ni binadamu wanaweza kukuacha wasikuchape, ila umekutwa navyo na unakataa utajikuta wewe mwenyewe unaomba peni usaini. pia, uwepo wa independent witnesses huwa una cure hiyo hoja yako and still certificate of seizure can be admissible in court without the signature of the accused on it.USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye kuijaza.
Fomu hii huitwa Certificate of Seizure. Fomu hii hujazwa hasa pale ambapo katika upekuzi kuna chochote kinatakiwa kuchukuliwa kama ushahidi(exhibit).
Ni fomu ambayo huoredhesha mali ama vitu ambavyo umekutwa navyo. Chochote ambacho umekutwa nacho ambacho wao wanatakiwa kukichukua/kuondoka nacho kama ushahidi basi huorodheshwa.
Hata kama kidogo kama pipi ama sindano madhali wanatakiwa kukichukua kwa ajili ya upelelezi basi hutakiwa kuorodheshwa kwenye hiyo fomu/hati.
Aidha, ni muhimu kujua kuwa ikiwa unapinga kuhusu kile kinachochukuliwa kuwa hukukutwa nacho ama hakikukutwa kwako basi usikubali kusaini fomu hiyo.
Hii ni kwasababu kukubali kwako kusaini fomu hiyo tafsiri yake kisherria ni kuwa umekubali kuwa umekutwa na hicho kitu.
Na endapo utafikishwa mahakamani basi fomu hiyo itawasilishwa kama ushahidi na kwasababu ulisaini basi ulikubali kuwa ulikutwa na kitu hicho.
Vinginevyo uwe unakubali kuwa ni kweli hicho kitu umekutwa nacho, basi hapo waweza kusaini. Lakini kama hukubali basi usisaini.
Msimamo huu ni wa Mahakama ya rufaa kupitia kesi ya SONG LEI VS THE DPP, AND THE DPP VS XIAO SHAODAN and Two Others, Consolidated Criminal Appeal Nos. I6'A' of 2016 & 16 of 2017, ambapo mahakama ilisema kuwa kusaini hati/fomu ya upekuzi ya mali zilizochukuliwa ni kukubali kuwa umekutwa na huo ushahidi.
Katika hii kesi raia wa China walisaini Pembe za Wanyama kukutwa ndani ya gari lao na ndo ukawa ushahidi dhidi yao.
Maamuzi mengine mengi yameeleza msimamo huu kuwa ukikubali kusaini umekubali kukutwa na huo ushahidi.
Ni muhimu sana kulijua eneo hili la mtego ambalo linaweza likakupeleka jela na yafaa basi kuwa makini katika mazingira hayo.
Wakili msomi naomba tafsiri ya hichi kipande .[emoji116]USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI