T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Mtabishana wao watasema sahihi ni yako na wewe utasema sahihi sio yako, hapo itafunguliwa kesi ndogo na ile ya msingi itaachwa, kwenye kesi ndogo wataitwa waataalamu wa maandishi ikibainika ulidanganya utapewa adhabu ndipo inaanza kusikilizwa kesi ya msingi tenaUna sign signature ambayo si yako ukifika mahakamani unawakata kiulaini,hakuna haja ya kubishana nao hawa jamaa ni wajinga kweli kweli wakiwa katika anga zao wanaweza kukuumiza vibaya kisa ubishi wa kijinga ambao mwisho wa siku ukitumia akili unawaacha kwenye mataa.
Inakuwa hasara kwako maana kesi ndogo nayo haiishi haraka inachukua muda, plus adhabu ya kuidanganya mahakama unapewa adhabu ambayo hata ukishinda utatumikia adhabu ya kesi ndogo sasa kwanini usiokoe muda kwa kwenda straight aidha ushindwe utumikie adhabu moja au ushinde kabisa
Unafikiri mambo ni mepesi hivyo?