Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle.

Mimi niko The Bronx, NY, mtaa wa magangsters, mtaa wa real life hustle, na yes Roma Mkatoliki huwa anapita huku. Nimekutana nae mara kadhaa, ni chill dude, hana kiki, hana showoff. Ukimwona unaweza dhani ni ordinary dude anapita zake, hustle ya maisha. Huku hakuna kamera za wasafi TV – hapa ni bills, ni rent, ni work, ni grind.

Na mara nyingi tumepishana nae kule Harlem, mtaa wa real goons, mtaa wa dark deals – huku ukiingia bila kufahamu game unaweza kupotea. Huko kuna some Tanzanians hustling, lakini pia kuna mabadiliko mabaya – trap life, drugs, sex trade, magroup ya kijeuri, ni survival zone.

Wabongo wengi walikuja na ndoto lakini sasa wamelala kwenye maghorofa ya watu, wengine wanaishi basement ya mshikaji, wanalipa $1200 for a tiny room with no window, bado hana job legit, hana papers, na akili imemchoka. Huyu mtu ukimwambia arudi Bongo atakutukana – siyo kwa sababu maisha ni mazuri hapa, ni kwa sababu hana fare ya kurudi home!

Now let’s talk real thing – wengine wameishia kuwa gay for papers, wameolewa na mizee ya kizungu eti “maisha bora.” Hiyo siyo life, hiyo ni kuchoka na kujitoa heshima. Real G never sell his soul for documents!

America ni land of opportunity ONLY kama una plan, una ramani, una akili ya mtaa na moyo wa simba. Ukiingia na game, ukiingia na skills, ukiingia na plug wa kazi au shule, life inaweza kubadilika haraka sana. Utapiga job, utajifunza tech, unaweza kuinvest crypto, unaweza kufungua business ya online shipping au huduma, unaweza kutuma doo Bongo kila mwezi – all legit!

But kama unaingia tu kujificha, au unaota utamatch na sugar mama utatoka – bro, utachezwa kama tambala! Hii game ni ya wenye plan. Kama una game, America itakupa wings. Kama huna – itakumeza kama mdomo wa shark.

Wengine tunaweza ku-survive sababu bado tunapigwa backup na wazazi – they pay some bills. Lakini real G anajitegemea, anasimama mwenyewe, anajenga brand, anapiga hustle. Kama unakuja huku, kuja ready, kuja na papers, kuja na address, kuja na real connection.

Otherwise, utaingia kwenye system ya kipumbavu, utaishi kwa hofu, utaishia kuuza personality yako, na mwisho wa siku utakuwa shadow ya kile ulichotaka kuwa.

So real talk – OYA, kama unakuja huku, kuja na mpango. Kama huwezi kuhandle pressure ya life huku – better stay Bongo, fungua kibanda cha biashara, hustle legit kuliko kuja huku ukijidhalilisha.

GAME IS GAME. Huku ni Marekani – siyo sinema. Leave that fake flexing life, leave wishful thinking. Kama hujaandaa,
don’t come!
 
Wewe huwezi kutoa ushauri wa maisha na huo u gangstar feki wako, hakuna anaeu admire.

Ndo tatizo la Mswahili akifika USA. Huwezi kukuta kijana wa Kichina au Mhindi au Mwarabu kenda USA anasema eti ye ni gangstar wa Bronx NY.

NEVER EVER.

Ni Waafrika na Waspanish ndo wanapenda u nigga. Tena Waafrika sio wote. Ni Wabongo. Wakenya wao huwa wana focus na maendeleo.

Kwanza kijana wa Kihindi au Kiarabu au Kichina hataki hata kukaa The Bronx, yani Manzese ya New York. Wala ma niga waliofanikiwa hawataki kurudi kwao The Bronx. Wakina J Lo, Cardi B, MIke Tyson, Nikki Minaj unadhani wanaishi The Bronx ?

Kwanza Bronx kumejaa ma apartment building kama nyumba za polisi Kurasini, na manyumba yaliyoshikana. Ndani kuna familia mbili tatu mnaingilia mlango mmoja. Jirani akivuta bangi moshi unakuingilia. Wakifanya yao na wewe unasikia miguno. Hakuna nyumba standard yenye garden, garage, backyard, front yard. Na mtoto hachezi nje, atapigwa na stray bullet.

Unajisifiaje u gangstar wa kukaa The Bronx ??? Utamshauri nani nini ?
 
Wewe huwezi kutoa ushauri wa maisha kwa sababu u gangstar feki wako sio admirable. Hauvutii mtu anaejielewa.

Ndo tatizo la Mswahili akifika USA
.
Huwezi kukuta Mchina na Mhindi na Mwarabu kijana kahamia USA kutafuta maisha anaongea hivyo eti ni gangstar wa Bronx NY.

NEVER.

Ni Waafrika na Waspanish tu, ndo wanapenda u nigga feki. Tena Waafrika sio wote. NI Wabongo. Wakenya sio sana

Kwanza kijana wa Kihindi au Kiarabu au Kichina hataki hata kukaa The Bronx, yani Manzese ya New York. Wala ma niga wazawa wa Bronx waliofanikiwa hawataki kurud The Bronx.

Kwanza Bronx kumejaa ma apartment na manyumba yaliyoshikana. Ndani kuna familia mbili tatu. Hakuna nyumba standard yenye garden, garage, backyard, front yard. Na mtoto hachezi nje, atapigwa na stray bullet.

Unajisifiaje u gangstar wa kukaa Bronx ??? Utamshauri nani nini ?
Ndio nimeshakaa bro!
 
Back
Top Bottom