Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Marekni hata magari kumilikinninghrama.

Gari linafanyiwa ukaguzi kila mwaka, unalipia hata kama ni zima na jipya.

Ukishindwa kulipia huendeshi, na wakilikamata wanapiga mnada wanajilipa madeni.
Hatari sana kwa.muktadha huo
 
Kaka, huyo roma anapitaga bronx kwa miguu au?
 
Unaujua mtego wa madeni,?
Mtego wa madeni mpaka uwe na social security number credit card haitok tu kienyeji hao illigal aliens wanaish basement kwa wana ni kwamba hata kupanga chumba hawaruhusiwi achen kutisha watu US kwa mtu alieish maisha magumu bongo uko ni kitonga sana labda utake kuishi kama kina puffy dady ukishindwa kutoboa huko maana yake wewe ni loser tangu tumboni
 
Ukiishi Illegal ndio mambo yanakuwa magumu mara 2 zaidi
 
Ukiona mtu yuko state anastrago na hataki kurud home , ni kwamba mwana anajua akitoka huko kurudi ndio nitolee pia anarudije bongo na yuko pumbu amekaa miaka kibao huko jamaa inajua katoboa wahuni wanaona bora lawama kuliko fedheha bora wawe tu homeless kuliko kufanywa mfano
 
Back
Top Bottom