Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Mkuu kiwalani Napo wanapaita The Bronx sijajua kwanini,.ukirudi unyamwezini niletee raba mtoni..kingreza chako nimependa Kama Jay z,.vipi mademu huko wanashoboka Sana??una Rasta..??
 
🤣🤣 sasa kwanini wanaendelea kubaki huko?
Hawana nauli.

Marekani kodi ya nyumba inalipwa kila mwezi.

Chakula bei juu, usafiri.

Kila mtu unatakiwa uwe na kazi mbili ndio maisha yaende, kwahiyo unakuwa busy na kazi muda wote.

Hiyo nauli ya kurudi home unaweza kukosa.

Yaani Marekani ukiugua wiki 2, ukashindwa kufanya kazi utajikuta unalala barabarani huna pa kulala
 

Umeongea facts tupu.
Lakini kama upo kiwanja, na bado wazazi wanasgughulika na "bills" zako, basi una safari ndefu sana kwenye boksi mkuu.
You've to work your a$$ off man.
Zaidi, Kila la kheri kiwanjani.
Umenikumbusha mbali.
 
hatari sana aisee, issue ya kua na kazi mbili au tatu nishawai ona documentary moja ni masikitiko sana kama ukiwa hauna ajira ya kueleweka
 
Ana point lakini nilipoona anaishi Bronx NY nikajua tayari ni issue, kwa ufupi US ni pazuri na opportunity za kutosha ila uwe tayari kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu sheria na hakuna mtu atakugusa, ukiweza avoid New York na California, kule ni kwa young and rich, very fast life and expensive you will suffer
 
So, umeemda Marekani hata kuandika sasa unaandika Kimarekani.

In short, kwa dunia ya sasa nimzuzu tu linaweza kudanganywa.

Maisha na mifumo ya Marekani tunaijua vizuri tu.
Kwamba unataka kubishana na mwana aliyoyazungumza?!

Haya elezea na wewe unachokijua ili uuokoe uma kutoka kwenye uongo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…