Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Noma sana, baada ya hapo unapata ugonjwa wa kisaikolojia kwamba Tanzania nyumbani ndugu wanajua niko USA nimetoboa na ilihali hujatoboa, hivyo kurudi unaona wqtakushusha thamani, bora ujifiche huko uendelee kupewa ile sifa ya NDUGU YETU YUPO MAREKANI KWA DONALD TRUMP.
 
Inaonekana wewe ni nyanya mtu makini huwa anajua kuwa life ni kuhustle sasa hustler hafundishwi ama peta na mdundo. Kwa hapa tu ww sio hustler wewe ni mtoto wa mamako
 
🤣🤣 sasa kwanini wanaendelea kubaki huko?
Nafkiri pride na kuna unafuu fulani kwa maono yao ukitofautisha na bongo lakini pia wabongo na waafrika kwa ujumla huwaga hawana akili!… wanaweza kukupa depression kwa kukuongelea na kukucheka while hakuna kitu chochote wanajua wala kuelewa na hata hawajawahi kujaribu kufika popote maishani mwao
 
Kule wana maisha ya ajabu sana mtu ana gari analitumia kila siku mafita ila anahangaika kwamba ni homeless, utaratibu wao hasa wa makazi ni wa ajabu sana
 
Reactions: K11
wanalipa $1200 for a tiny room with no window, bado hana job legit, hana papers, na akili imemchoka. Huyu mtu ukimwambia arudi Bongo atakutukana – siyo kwa sababu maisha ni mazuri hapa, ni kwa sababu hana fare ya kurudi home!

"Fair ya USA Tanazani Kuna wakati inafika hata $1000 return, mimi nimeshasafiri to USA kwa fair hiyo, sasa maisha na gharama za kuishi USA kwa mwezi mtu anakosaje nauli ya kurudi????"
 
Mwamba amenishangaza sana yaan ulipe usd 1200 rent basement alafu ukose one way ticket ya kurud bongo kweli ccm wanatudharau sana
Exposure ni kitu muhimu sana! Pole sana hata kwa kushindwa kuchangamsha akili kwa kufikiria jambo hilo tu dogo… una hasara
 
😂😂😂😂😂
 
Mkuu kiwalani Napo wanapaita The Bronx sijajua kwanini,.ukirudi unyamwezini niletee raba mtoni..kingreza chako nimependa Kama Jay z,.vipi mademu huko wanashoboka Sana??una Rasta..??
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…