Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

Exposure ni kitu muhimu sana! Pole sana hata kwa kushinda kuchangamsha akili kwa kufikiria jambo hilo tu dogo… una hasara
Unahis upo uko peke yako huku mtoto wa mama unatumiwa poket money na wazee acha mbwembwe ongea na mabro vizuri upewe michongo unadhan ni hekima kukaa Harlem kwa mtu aliekuja kujitafuta marekan labda kama umekuja kufanya uhalifu au umekuja kusoma kukaa new york kwa mpiganaji ni kosa kubwa sana
 
BRNX, NYC una sema life is hard, no we ni mvivu, Nigerians Kenyans some how, Ghana ,Senegal 's hawo jama ni wapambanaji man NYC brnx usa umachinga kama kawa, unaokota vitu kwenye majalala nguo mikoba viatu nk unafua unauza kwa kupanga chini kama tu huku japo ni illegal ila unapata ka kawaida hukosi hela ya kula kuvaa vizuri na kusukuma ndinga ukiwa mjanja, wateja ni watalii na maskini wa huko mkuu utaaishi vizuri ukijitambua Tena hata uhitaji mtaji mkubwa ni wewe tu hustler kubwa epuka magenge, dawa za kulevya, na kupenda chini, ukidaka demu wa mtu kubababke huachwi, Tena ka ni blacks duuhhh



Fullstop, kwishaaaa
 

kwani Marekani ni mbinguni. Tuitafute mbingu ndugu zangu. Inawezekana.
 
Reactions: K11
Ushashiba ugali hapo kwenu unasubiri jua lipoe ukakae pale kijiweni kwenu na ma-looser wenzako muendelee na mjadala wenu wa kuiponda serikali ya TANZANIA, unadhani kufika huku ni mchezo… hujielewi!
 
Tusitishanee bhanaa, mie hata nikiwa housemaid huko USA sawa tuuuh.

Kila mtu ashinde match zake. Lol
NI ngumu kupata kazi kama housemaid Marekani, kwasababu watu hawamudu kulipa.

Ni matajiri tu ndio wanaweza kumudu gharama za housemaid.

Ukiingia Youtube utaona video nyingi sana za DIY (Do it Yourself) usifikiri ni za bahati mbaya.

Watu wanajaribu kukwepa BILLS.

====

Kuajiri house girl, kula vyakula vya mashambani (organic) kama Mchicha, Chinese, maboga, Matunda, tikiti maji, ni LIFESTYLE ya matajiri.
 
Reactions: K11
USA =land of opportunities sifikirii Kama atakosa cha kufanya akifika USA kuna Kazi Kama Caregivers n.k you can make good profit per month.
 
Ushashiba ugali hapo kwenu unasubiri jua lipoe ukakae pale kijiweni kwenu na ma-looser wenzako muendelee na mjadala wenu wa kuiponda serikali ya TANZANIA, unadhani kufika huku ni mchezo… hujielewi!
haya subiria daddy atumie hela ya burger duttybway
 
Ilikuwaje mchizi kwenda kuishi The Bronx huko sijui Queens,Harlem

Mitaa ya washenzi.

Akina Jay Z,50 cent Bust Rhymes wamekimbia huko wewe MGAIGAI umeenda kuishi huko😂😂🙌

Siku nikitua America siwezi enda Ishi hio mitaa Bora niende Maine huko au New Hampshire au Alaska kabisa kwenye ngozi nyeupe.

Ni rahisi kudeal na mzungu mbaguzi kuliko kudeal na Manigga WA USA
 
"Wengine tunaweza ku-survive sababu bado tunapigwa backup na wazazi – they pay some bills"
Hii verse imeharibu/imekata uzi woote, nilijua ni story ya real hustler, kumbe ni sponsored tourist.
 
Kule wana maisha ya ajabu sana mtu ana gari analitumia kila siku mafita ila anahangaika kwamba ni homeless, utaratibu wao hasa wa makazi ni wa ajabu sana
Marekni hata magari kumilikinninghrama.

Gari linafanyiwa ukaguzi kila mwaka, unalipia hata kama ni zima na jipya.

Ukishindwa kulipia huendeshi, na wakilikamata wanapiga mnada wanajilipa madeni.
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…