Hatari sana kwa.muktadha huoMarekni hata magari kumilikinninghrama.
Gari linafanyiwa ukaguzi kila mwaka, unalipia hata kama ni zima na jipya.
Ukishindwa kulipia huendeshi, na wakilikamata wanapiga mnada wanajilipa madeni.
Unaujua mtego wa madeni,?Mwamba amenishangaza sana yaan ulipe usd 1200 rent basement alafu ukose one way ticket ya kurud bongo kweli ccm wanatudharau sana
Mtego wa madeni mpaka uwe na social security number credit card haitok tu kienyeji hao illigal aliens wanaish basement kwa wana ni kwamba hata kupanga chumba hawaruhusiwi achen kutisha watu US kwa mtu alieish maisha magumu bongo uko ni kitonga sana labda utake kuishi kama kina puffy dady ukishindwa kutoboa huko maana yake wewe ni loser tangu tumboniUnaujua mtego wa madeni,?
Ukiishi Illegal ndio mambo yanakuwa magumu mara 2 zaidiMtego wa madeni mpaka uwe na social security number credit card haitok tu kienyeji hao illigal aliens wanaish basement kwa wana ni kwamba hata kupanga chumba hawaruhusiwi achen kutisha watu US kwa mtu alieish maisha magumu bongo uko ni kitonga sana labda utake kuishi kama kina puffy dady ukishindwa kutoboa huko maana yake wewe ni loser tangu tumboni
Ukiona mtu yuko state anastrago na hataki kurud home , ni kwamba mwana anajua akitoka huko kurudi ndio nitolee pia anarudije bongo na yuko pumbu amekaa miaka kibao huko jamaa inajua katoboa wahuni wanaona bora lawama kuliko fedheha bora wawe tu homeless kuliko kufanywa mfanoUkiishi Illegal ndio mambo yanakuwa magumu mara 2 zaidi