Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Dkt Samia akitoka madarakani, mtamkumbuka sana
 
Ni kweli Mkuu nakumbuka kuna kipindi fulani Nilikuwa nachoma chupa si kitoto. Mpaka siku moja Mhindi mmoja akaniita akaniambia ndugu yangu una pesa sana?

Ni mara ya nne nakuona unakunywa bia zaidi ya 6 na bado unatoa ofa. Je umewekeza vya kutosha? Una biashara gani ambayo inakufanya utumie faida bila kufanya saving?

Akaniambia mimi nina wiki moja nakunywa shoti mbili za Konyagi na kuiweka kaunta. Lengo ni kulewa tu au kuna la ziada?
 
Ogopa sana wadada wa mjini ni wezi, yanikuta kwenye hardware tegeta
Sanaa sanaaa mkuuuu

KUNA bar Moja mdada Moja pale mikochen kila akiniona anakimbiloa.kunsave

Sikumoja akaja akaandika bill na namba yake ya simu

Na me nkaandikaa seen n ntd

ALIPORUDI NKAMPA helร  na resit yakee
Akarudiii boss UMEANDIKWA kichina sijaelewa nkamjibu copied ntakuchk

Nkamsave NKASEMA Leo ngoja nichelewe dogo MMOJA akawahi NKAMWAMBIA agiza makange ya MBUZI na pilipili na nyingine Haina pilili vinywaji kunywa isizidi beer 4

Akala chake akaomba bill n Niko njian her KUFIKA kuona bill aisee mji mutamusana...siami....

YAAN mdada alikuwa kila akiniona hakosi bk 5 za bill tu anazoleta on top

NKASEMA tawire....Toka SIKUHIO nikienda naenda na Ile resit ya dogo..ilinsaidia sanaasanaa
 
Jana nilikiwa pahala nikaagiza kuku mzima(wa kienyeji) achomwe aletwe nimtafune, kabla kuku hajaja nikauliza bei nikaambiwa 28000 hule mhudumu akaondoka,

huku nasubiri nikaenda pale kuku anakochowa nikamuiliza bei yule mwamba anaechoma gweo akaniambia ni 24000 mimi hata sikumwambia chochote nikarudi nilipokuwa nimekaa( yule muhudumu hakuniona kama nimetoka)

Baada ya muda mchache yule muhudumu akaleta kuku huku anajichekesha mimi sikuongea chochote nikaanza kutafuna yule kuku, nilikiwa pekeyangu ila huwa namaliza kuku sibakizi. kwenye kulipa nikalipa 24000 yule dada akasema bado elfu nne nikameambia sawa ila nakupa iyo elfunne halafu nakupiga vibao viwili matata.

yule dada akaondoka wala hakuongoa neno na mimi wala sikuambia meneja wala yule mchoma kuku,
 
Bar sisi ambao hatuna pesa ndo tunaongoza Kwa matumizi
 
Wengi wanakunywa pombe kwa sifa tu, ila kwa walevi pro kama kina min -me ni ili alewe.

Wengi wa hivi hawachagui vijiwe, na hupenda utulivu, vijiwe visivyo na kelele mingi na offer za hovyo hovyo.

Sasa wale wapenda sifa ndio utawakuta wakiropoka hovyo na kujiita matajiri
 
NGOMA DRW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ