Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Naunga mkono hoja...Tafuteni hela wazee wenzangu , 24,000/= sio bill ya kupigiana simu.

Kunywa sumu ya panya ni fasta tu uko mbinguni na Mungu wako.Polee sanaaa m naheshimu hadi 500
ndichoo najivunia maisha Yangu mpaka keshooo nahisi akilizako n kuwaza mali m namshukuru Mungu hizo nishapita natafuta ufalme wa Mungu nw
Watajifanya uzungu kwa watu limbukeni. Hotel au bar yoyote inatakiwa iwe na menu ili bei ziwe wazi. Usipoona menu basi ulizia kwanza (wengi hawaweki bei ili wapate kuongeza cha juu). Kwa kifupi Bongo ni ujanja ujanja wa kishamba sana hivyo kila step ni lazima uwe makini.Sehemu ya kipumbavu sana Sinza..wanajifanya sana uzungu mwingi
Hata Dom hapa mjini kati Wana huo ujingaShalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000
Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu
MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea
NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini
AKajibu kwenye msg
KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja
Akasema JUMLA 20000
Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa
Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!
Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo
Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000
NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea
Nilichokinot
Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula
Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit
Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......
HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa
Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza
Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA
Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari
NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max
WAKATI nalalamika hayo
Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000
Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo
NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
Maji makubwa kwa Maana ya H2O au?Kuna sehemu nilipiga maji makubwa bill ikaja elf 9😹😹
muulize mtoa madaKubwa ilitakiwa kiasi gani?
Shukrani sana umenifunza jamboShalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000
Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu
MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea
NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini
AKajibu kwenye msg
KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja
Akasema JUMLA 20000
Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa
Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!
Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo
Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000
NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea
Nilichokinot
Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula
Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit
Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......
HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa
Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza
Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA
Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari
NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max
WAKATI nalalamika hayo
Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000
Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo
NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
Acha kudharau pesa hata kama ni ndogo kiasi gani hizo ni dalili za ujinga na ulimbukeni.muulize mtoa mada
hela zangu ya nini zikusumbue mkuu nani kadharau pesa sasa hapoAcha kudharau pesa hata kama ni ndogo kiasi gani hizo ni dalili za ujinga na ulimbukeni.
Sitasahau nilikula ukoko nikalipa 3000 wakati najua ukoko bukuShalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000
Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu
MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea
NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini
AKajibu kwenye msg
KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja
Akasema JUMLA 20000
Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa
Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!
Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo
Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000
NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea
Nilichokinot
Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula
Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit
Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......
HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa
Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza
Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA
Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari
NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max
WAKATI nalalamika hayo
Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000
Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo
NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
Hakuna pesa ndogo.hela zangu ya nini zikusumbue mkuu nani kadharau pesa sasa hapo
Shalom Wana Mungu alie hai

Mimi siuliziagi bei, na sidhani kama ni ulimbukeni, labda tunatofautiana kwenye maana ya huo msamiati.Watajifanya uzungu kwa watu limbukeni. Hotel au bar yoyote inatakiwa iwe na menu ili bei ziwe wazi. Usipoona menu basi ulizia kwanza (wengi hawaweki bei ili wapate kuongeza cha juu). Kwa kifupi Bongo ni ujanja ujanja wa kishamba sana hivyo kila step ni lazima uwe makini.