Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Biashara huria Kila mtu anauza bei anayotaka

Nikiwa tz hua sipendi kabisa kutumia pesa zangu Kwa mtindo wa kuzifuja,Bora ukiwa ugenini unakua huna option nyingi, sio hapa ambapo Chocho zote nazijua, hapana kwakweli, nakumbuka club element ilipofunguliwa local beer wanauza elf 10 Moja, nikaona huu Sasa ujinga, Kuna watu nilikua nashindwa kuwakwepa kwenda hapo so nikawa nabeba pombe zangu naacha kwenye gari, elements ni mwendo wa maji tu, stimu zikipungua unashuka zako unapiga makali kwenye gari unarudi ndani..... Kutumia pesa Kwa sifa sio ujanja kabisa ndo maana huwezi kukuta matajiri wanaojielewa wanaweka heshima bar, Sana Sana sisi maskini ndo hua tuwashobokea na kuwanunulia wao expensive drinks, kijana Linda Sana pesa Yako!!
Huku München kila mtu ananunua kreti za bia trinkmart na kama ni mnywaji mzuri unaweka order wanakuletea kila mwezi nyumbani kwako. Nikirudi bongo ni mwendo wa kununua kreti na kuweka nyumbani . Mimi nakunywa bia kreti tatu kila mwezi. Hata nikitoka weekend najua nina nina tele nyumbani.
 
Shalom Wana Mungu alie hai

Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana

Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza

Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000

Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu

MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea

NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini

AKajibu kwenye msg

KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja

Akasema JUMLA 20000

Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa

Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!

Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo

Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000

NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea

Nilichokinot

Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula

Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit

Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......

HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa

Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza

Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA

Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari

NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max

WAKATI nalalamika hayo

Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000

Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo

NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
1. Umefanya vizuri kumrudia mwokozi
2. Urudi na darasani ujifunze kuandika unatutesa sana kusoma
 
Yaani afu nne tu unapiga kelele kama kmoto aliyepigwa shoka. Tafuteni pesa au rudi kijijini ukalime
Ndugu yangu waafrika hatuendelei kwa sababu hatuheshimu pesa. Huku kuna vijana wa Kijerumani wana hisa lakini wanatumia laptop za zamani. Unakuta kijana hadi nguo anazovaa ni za zamani.
 
Una sifa za kipumbavu na pesa huna na umejaa ushamba.

Mteja kuibiwa hata 100 haifai, inaua biashara.

Bora mteja kwa moyo wake ampe mhudumu asante ya 10,000 kuliko kuibiwa hata 100.
 
Ndugu yangu waafrika hatuendelei kwa sababu hatuheshimu pesa. Huku kuna vijana wa Kijerumani wana hisa lakini wanatumia laptop za zamani. Unakuta kijana hadi nguo anazovaa ni za zamani.
Kuna watu hujisifia ujinga ili waonekane wanazo.

Wenye pesa za maana ndio hawapendi kudanganywa, lkn maskini anaona poa
 
mfukoni hamna kitu alafu ankula bila kuuliza bei?
 
Hii sh ngapi, na hii sh ngapi, na hiyo sh ngapi na ile sh ngapi.......
 
Jana nilikiwa pahala nikaagiza kuku mzima(wa kienyeji) achomwe aletwe nimtafune, kabla kuku hajaja nikauliza bei nikaambiwa 28000 hule mhudumu akaondoka,

huku nasubiri nikaenda pale kuku anakochowa nikamuiliza bei yule mwamba anaechoma gweo akaniambia ni 24000 mimi hata sikumwambia chochote nikarudi nilipokuwa nimekaa( yule muhudumu hakuniona kama nimetoka)

Baada ya muda mchache yule muhudumu akaleta kuku huku anajichekesha mimi sikuongea chochote nikaanza kutafuna yule kuku, nilikiwa pekeyangu ila huwa namaliza kuku sibakizi. kwenye kulipa nikalipa 24000 yule dada akasema bado elfu nne nikameambia sawa ila nakupa iyo elfunne halafu nakupiga vibao viwili matata.

yule dada akaondoka wala hakuongoa neno na mimi wala sikuambia meneja wala yule mchoma kuku,
Ulizingua kutomripoti kwa boss, ungesaidia wateja wengine wasiendelee kutapeliwa.
 
Shalom Wana Mungu alie hai

Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana

Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza

Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000

Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu

MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea

NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini

AKajibu kwenye msg

KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja

Akasema JUMLA 20000

Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa

Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!

Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo

Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000

NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea

Nilichokinot

Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula

Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit

Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......

HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa

Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza

Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA

Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari

NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max

WAKATI nalalamika hayo

Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000

Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo

NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
ndio manake mimi napenda kuishi gongo la mboto!!
 
Hahaha.... Asante sana. Umejisahau ukataja hadi jina lako
 
We mwenyewe dogo tena wa zaidi ya 2000, sasa hii inamaana gani?"Mwokoxi " uandishi gani huu?
 
Back
Top Bottom