Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Pombe haimalizi pesa inaleta pesa nivile unavyoichukulia itakupa matokeo husikaπŸ˜†
 
Pombe haimalizi pesa inaleta pesa nivile unavyoichukulia itakupa matokeo husikaπŸ˜†
Ile n sawa na network bussinees

UKIWEKA mzigo mrefu unatrade mzigo WA maana wewe tu mda wakoooo
 
Bro ndio uandike kwa kukoleza?
Macho yanauma kusoma
 

Ma vyakule yenyewe cholesterol tupu
 
...Tafuteni hela wazee wenzangu , 24,000/= sio bill ya kupigiana simu.
Kama kawaida Maskini wa JF na kasumba yenu ya kubeza watu zinapokuja mada kama hizi huwa hamkosagi.

Eti 24,000/= sio bill ya kupigiana simu, kwa hiyo ilitakiwa billi ya shiling ngapi ndio iwe ya kupigiana simu? milioni au?

Na pia unajuaje labda jamaa sio kwamba hakuwa na hiyo 24k bali hakuwa nayo kwa wakati huo mfukoni?

Kwanza wewe hapo mfukoni unatembea na shilingi ngapi kiasi cha kudharau wasiotembea na hiyo elfu 24?

Huwa nachukizwa sana na watu kma wewe mnaobeza kiwango fulani cha pesa, wakati kiuhalisia ni MASIKINI wakubwa.
 
Yaani afu nne tu unapiga kelele kama kmoto aliyepigwa shoka. Tafuteni pesa au rudi kijijini ukalime
 
Halafu utakuta Chakula chenyewe ni cha Hovyo! Ni vile tu wameremba remba na taa za discolight! Siku hizi hadi vimigahawa vya kawaida wanajikuta wanapandisha bei kisa tu ni mjini πŸ˜€
 
Yaani afu nne tu unapiga kelele kama kmoto aliyepigwa shoka. Tafuteni pesa au rudi kijijini ukalime
Polee sanaaa m naheshimu hadi 500
ndichoo najivunia maisha Yangu mpaka keshooo nahisi akilizako n kuwaza mali m namshukuru Mungu hizo nishapita natafuta ufalme wa Mungu nw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…