Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Polee sanaaa m naheshimu hadi 500
ndichoo najivunia maisha Yangu mpaka keshooo nahisi akilizako n kuwaza mali m namshukuru Mungu hizo nishapita natafuta ufalme wa Mungu nw
Kunywa sumu ya panya ni fasta tu uko mbinguni na Mungu wako.
Msalimie Magu
 
Sehemu ya kipumbavu sana Sinza..wanajifanya sana uzungu mwingi
Watajifanya uzungu kwa watu limbukeni. Hotel au bar yoyote inatakiwa iwe na menu ili bei ziwe wazi. Usipoona menu basi ulizia kwanza (wengi hawaweki bei ili wapate kuongeza cha juu). Kwa kifupi Bongo ni ujanja ujanja wa kishamba sana hivyo kila step ni lazima uwe makini.
 
Hata Dom hapa mjini kati Wana huo ujinga
 
Narudia hakuna Cha tafuta hela wala vuzi,

Beer sinunui zaidi ya afu tatu, chakula hakizid afu tatu,,

Aani beer elfu tisa, hapo ukitoa 2,000 au plus jero, 6500 utalipia, rent.... Umeme, Kodi, mshahara wa mfanyakazi na faida ingn juu.....

Kwahrn
 
Shukrani sana umenifunza jambo
 
Sitasahau nilikula ukoko nikalipa 3000 wakati najua ukoko buku
 
Fast food nyingi ni zinatapeli huduma haiendani na bei kabisa wadada wadangaji wamehamia kuanzisha vifast food uchwala pumbavu zao kabisa ukilalamika vinakujazia watu unalalamika nn mbona wezanko wanalipa
 
hela zangu ya nini zikusumbue mkuu nani kadharau pesa sasa hapo
Hakuna pesa ndogo.

Unayoiona ni ndogo kwa mwingine ni kubwa sana, alikadharika ile unayoona ni kubwa sana kwako ambayo ni ndoto kuipata kwa mwingine ni hela ya mafuta ya gari tu.

Sasa ile kauli yako ya awali kwamba eti "pesa ndogo sana hiyo" ni ya kipuuzi
 
Mkuu, Bora uendelee kuandika code tu kule kwenye jukwaa la mikeka!

Hichi nini hapa umeandika?!
 
Nimetoka zangu Babati nikaenda sehemu inatazamana na Golden Fork hapo Sinza Makaburini.

Ila Dar ndiyo sababu Makonda palimshinda imebidi akawapige changa walugaluga wa Arusha
 
Mimi siuliziagi bei, na sidhani kama ni ulimbukeni, labda tunatofautiana kwenye maana ya huo msamiati.

Nakulaga sana kwenye mighawa na bei za Migahawa hazipishani sana na bei nilokuwa naitarajia kichwani, naweza kukuta tofauti ndogo ya buku, 2000 au 3000 lakini sio gepu kubwa kama walilosema jamaa, yaani sehemu umeikadiria kwa standard yake bill itakua ni 7000 au 10,000 inakuja 20,000 au 24,000?

Labda Kwenye maeneo yenye watalii wengi kama Zanzibar sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…