Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Mpwa ππ sinza utapeli sio poa ukoko 3000Mpwa niache kidogo Niko na safariyatano sotakikucheka uwii
Huku MΓΌnchen kila mtu ananunua kreti za bia trinkmart na kama ni mnywaji mzuri unaweka order wanakuletea kila mwezi nyumbani kwako. Nikirudi bongo ni mwendo wa kununua kreti na kuweka nyumbani . Mimi nakunywa bia kreti tatu kila mwezi. Hata nikitoka weekend najua nina nina tele nyumbani.Biashara huria Kila mtu anauza bei anayotaka
Nikiwa tz hua sipendi kabisa kutumia pesa zangu Kwa mtindo wa kuzifuja,Bora ukiwa ugenini unakua huna option nyingi, sio hapa ambapo Chocho zote nazijua, hapana kwakweli, nakumbuka club element ilipofunguliwa local beer wanauza elf 10 Moja, nikaona huu Sasa ujinga, Kuna watu nilikua nashindwa kuwakwepa kwenda hapo so nikawa nabeba pombe zangu naacha kwenye gari, elements ni mwendo wa maji tu, stimu zikipungua unashuka zako unapiga makali kwenye gari unarudi ndani..... Kutumia pesa Kwa sifa sio ujanja kabisa ndo maana huwezi kukuta matajiri wanaojielewa wanaweka heshima bar, Sana Sana sisi maskini ndo hua tuwashobokea na kuwanunulia wao expensive drinks, kijana Linda Sana pesa Yako!!
Hata ulaya wetu weusi ndio wanaongoza kwa kutumia hela clubBar sisi ambao hatuna pesa ndo tunaongoza Kwa matumizi
1. Umefanya vizuri kumrudia mwokoziShalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000
Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu
MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea
NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini
AKajibu kwenye msg
KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja
Akasema JUMLA 20000
Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa
Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!
Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo
Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000
NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea
Nilichokinot
Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula
Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit
Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......
HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa
Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza
Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA
Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari
NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max
WAKATI nalalamika hayo
Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000
Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo
NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
Ndugu yangu waafrika hatuendelei kwa sababu hatuheshimu pesa. Huku kuna vijana wa Kijerumani wana hisa lakini wanatumia laptop za zamani. Unakuta kijana hadi nguo anazovaa ni za zamani.Yaani afu nne tu unapiga kelele kama kmoto aliyepigwa shoka. Tafuteni pesa au rudi kijijini ukalime
Sio kweli, kuibiwa hata 100 sio sawa.Hela ndogo sana hiyo mkuu
Una sifa za kipumbavu na pesa huna na umejaa ushamba.Yaani afu nne tu unapiga kelele kama kmoto aliyepigwa shoka. Tafuteni pesa au rudi kijijini ukalime
Kuna watu hujisifia ujinga ili waonekane wanazo.Ndugu yangu waafrika hatuendelei kwa sababu hatuheshimu pesa. Huku kuna vijana wa Kijerumani wana hisa lakini wanatumia laptop za zamani. Unakuta kijana hadi nguo anazovaa ni za zamani.
Mola akubariki sana.Siku hizi unaandika ukiwa haujapiga kimbo ya mbege.Mkuu n dogo WA chuo kwake kubwaa sema alikula kwa upakoo akakutana na kitu cha moto ikabidi nkatetee jahazii
Kaa chonjoInasikitisha Sana Upigaji kila sehemu.
Ulizingua kutomripoti kwa boss, ungesaidia wateja wengine wasiendelee kutapeliwa.Jana nilikiwa pahala nikaagiza kuku mzima(wa kienyeji) achomwe aletwe nimtafune, kabla kuku hajaja nikauliza bei nikaambiwa 28000 hule mhudumu akaondoka,
huku nasubiri nikaenda pale kuku anakochowa nikamuiliza bei yule mwamba anaechoma gweo akaniambia ni 24000 mimi hata sikumwambia chochote nikarudi nilipokuwa nimekaa( yule muhudumu hakuniona kama nimetoka)
Baada ya muda mchache yule muhudumu akaleta kuku huku anajichekesha mimi sikuongea chochote nikaanza kutafuna yule kuku, nilikiwa pekeyangu ila huwa namaliza kuku sibakizi. kwenye kulipa nikalipa 24000 yule dada akasema bado elfu nne nikameambia sawa ila nakupa iyo elfunne halafu nakupiga vibao viwili matata.
yule dada akaondoka wala hakuongoa neno na mimi wala sikuambia meneja wala yule mchoma kuku,
ndio manake mimi napenda kuishi gongo la mboto!!Shalom Wana Mungu alie hai
Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana
Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza
Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000
Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu
MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea
NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini
AKajibu kwenye msg
KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja
Akasema JUMLA 20000
Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa
Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!
Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo
Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000
NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea
Nilichokinot
Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula
Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit
Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......
HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa
Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza
Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA
Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari
NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max
WAKATI nalalamika hayo
Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000
Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo
NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
Hahaha.... Asante sana. Umejisahau ukataja hadi jina lakoShalom Wana Mungu alie hai

We mwenyewe dogo tena wa zaidi ya 2000, sasa hii inamaana gani?"Mwokoxi " uandishi gani huu?Shalom Wana Mungu alie hai